Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

Uliwahi kusoma kitabu kipi kizuri hadi hivi ukikikuta unatamani ukinunue?

My list: pesa zako zinanuka(Ben R Mtobwa)

Beatiful ones are not yet born

Vuta n kuvute (Adam shafii)

Mfadhili

A man of the people(Chinua Achebe)

Usiku utakapo kwisha

Mkimbizi (Hussein Tuwa)

Mifupa 306

Na baadhi ya mashairi,Bulilding the nation,A dying child,my pain,a wonderful surgeon,logic.
 
Kuna kitabu ukikisoma kutokana na utamu au maudhi yake unavutiwa kukiazima au kukinunua.

Yaani huwezi poteza kumbukumbu kwa haraka. Iwe ni hadithi (riwaya, tamthilia,) ushairi.

Mf. Hiki kitabu cha Ng'ugi wa Thiong'o "I WILL MARRY WHEN I WANT"
Kuna vitabu vingi vizuri kweli kweli

Wenye nakala au kama unahitaji nakala tumeni hapa.

View attachment 3441248
Mine boy by Peter Henry Abrahams
 
1. Mashimo ya mfalme Suleman by Allan Quaterman
2. Great pond by Eledi Amachi
3. Things fall apart by Chinua Achebe
4. Vuta n'kuvute by Shafi Adam Shafi (anajua sana huyu jamaa)
5. Duka la kaya by Ndimara Ndigambwage
6. African child by Eledi Amachi
7.......
Mkuu naomba nisaidie hiko the great ponds kama una soft copy
 
Ngoswe: Penzi Kitovu Cha Uzembe by Edwin Semzaba na 48 Laws Of Power by Robert Greene, hivi vitabu ni moto wa hisia za mapenzi kazini na mbinu mujarabu za kufanya siasa bila kuadhirika au kuumia kindezi ndezi 🐒
Tlaahtlaah, Tlaahtlaah!
 
We
Riwaya za ben r mtobwa. Kiguu na njia,zawadi ya ushindi, dares salam usiku, roho ya paka,nyuma ya mapazia, pesa zako zinanuka, lazima ufe joram,tutarudi na roho zetu,mwalimu mwenye mkono wa bandia,mpishi mwenye kibiongo,kipofu mwenye miwani myeusi.riwaya ya c.g. mung'ong'o inaitwa mirathi ya hatari.

Riwaya za euphraze kezilahabi Nagona,mzingile,rosa mistika.riwaya simu ya kifo kama sio msiba itakuwa katalambula ndio mwandishi.

Riwaya ya gabriel ruhumbika inaitwa janga sugu la wazawa.

Riwaya za shaban robert adili na nduguze, maisha yangu na baada ya miaka hamsini, wasifu wa siti binti saad .nimechoka kuandika ni nyingi sana nimesoma hizo zote hapo juu nimesoma achana na zile za olev na advance.

Tamthiliya za mashetani,kitumbua kimeingia mchanga pambo,ngoma ya ng'wanamarundi,tendehogo

Mashairi, da diwani ya mnyampala,ya mathias mnyampala, utenzi wa nyakiiru kibi.


Riwaya za safari ya chinga,safari ya prospa ,kisiwa chenye hazina, shamba la wanyama .wadau nivingi nimesoma.vingine nimeanza kuvisahau.
We noma mkuu!
 
Back
Top Bottom