Uliwahi kusoma majarida ya FEMA NA Femina?

Uliwahi kusoma majarida ya FEMA NA Femina?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Kama umesoma haya majarida enzi hizo, basi ni muda sasa wa kuanza kupunguza kula sukari na chumvi.
IMG_6508.jpeg
IMG_6507.jpeg
 
Duh

Kipindi hicho vijana walookuwa waki covered ni wenye maadili na ujasiri wa asilia hadi kufika mafanikio

Siku hizi ni matako ndio tunawekewaa kwenye majarida ya siku hizi. Mtu amekuwa maarufu kwa sababu ya kuliwa tigo na star fulani

SHAME🤡
 
Kusoma majarida ya karatasi kuna raha yake, kushika na kugeuza kurasa huwa na ladha ya kipekee inayopotea kidogo kwenye toleo la kidijitali.

Internet imekuja kuua matoleo mengi ya majarida...

Simu au computers hazileti sana utulivu na umakini katika usomaji, kuna distractions zinatokea, mara notifiation ya email, whatsapp , instagram n.k

miss those days, nadhani kuna muda sisi wa old skuli kufanya digital detox...
 
Back
Top Bottom