Uliwahi kusoma majarida ya FEMA NA Femina?

Duh

Kipindi hicho vijana walookuwa waki covered ni wenye maadili na ujasiri wa asilia hadi kufika mafanikio

Siku hizi ni matako ndio tunawekewaa kwenye majarida ya siku hizi. Mtu amekuwa maarufu kwa sababu ya kuliwa tigo na star fulani

SHAME🤡
 
Kusoma majarida ya karatasi kuna raha yake, kushika na kugeuza kurasa huwa na ladha ya kipekee inayopotea kidogo kwenye toleo la kidijitali.

Internet imekuja kuua matoleo mengi ya majarida...

Simu au computers hazileti sana utulivu na umakini katika usomaji, kuna distractions zinatokea, mara notifiation ya email, whatsapp , instagram n.k

miss those days, nadhani kuna muda sisi wa old skuli kufanya digital detox...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…