Uliwahi kuwafahamu au kuwasikia hawa?

Uliwahi kuwafahamu au kuwasikia hawa?

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,340
Reaction score
12,055
Kama umezaliwa enzi za Kikwete inaweza kuwa ngumu kuwafahamu hawa watu!!
1. Mike Tee a.k.a mnyalu
2. Dudu baya a.k.a dudu zuri
3. Mr Nice a.k.a mzee wa TAKEU style
4. Witnes Masiga wa B lov M
5. Crazy GK
6. Raha P
7. Q chilla
8. Mr Paul
9. Afsa Kazinja
10.....
Unaweza kuendeleza orodha au kutwambia wako wapi hawa watu.
KARIBU SANA
 
Imam Abasi, Balozi, Uswahilini Matola (Kosa la Marehemu)
 
11.meja kunta 12.marioo 13a.zuchu 14. kili 15.ibra 16.k tuga
 
Back
Top Bottom