Uliweza kustukia mchezo kutoka kwa wanunuzi wa noti ya 500?

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Hivi karibuni Kuna kundi la watu walikuwa wanapita na kujinadi wanatafuta kununua noti za shilingi 500 Kwa kununua noti Kwa kuanzia na bei ya shilingi 2000 mpaka 20000 Kwa noti Moja.

Na kweli walikuwa wananunua. Lakini Ulibaini Nini Kwa wanunuzi hao?

FB_IMG_1697269642894.jpg
 
Mimi nilihisi benki kuu ilitaka kuziondoa 500 mtaani kwa urahisi ndio maana ikaamua kutoa tenda kwa watu kuzinunua na mpaka leo benki kuu haijasema 500 za noti hazitumiki bali hazipo tu mtaani.
 
Mkuu tuambie basi ulicho baini...
Wanachokifanya wanakuja eneo husika na kutangaza wananunua hizo pesa let say Kwa sh.2000 Kwa noti Moja.Akitokea mtu anazo watazinunua Kisha watamuachia mawasiliano yao.Baada ya siku chache watampigia huyo mtu na kusema wana uhitaji tena wa hizo noti na awamu hii watanunua Kwa 50000/- Kwa noti.Wakishasema hivyo wewe uliyewauzia utapambana kufa na kupona uzitafute hizo pesa ili utengeneze pesa zaidi.Ndani ya masaa kadhaa atakuja mtu kwako ana noti kibao anakuulizia umpe contact awasiliane na hao wanunuzi,sasa kwa kuwa una uhitaji utamuuliza bei,yeye ANAWEZA kukutajia anauza Kwa 20k Kwa noti.Mnafanya biashara Kisha yule jamaa anaondoka.Kumbe huyo aliyekuuzia kwa 20k anatoka miongoni mwa hao matapeli.Baada ya hapo hutowaona tena
 
Hahaaaaaaa

Nimeelewa sana mkuu ni kama Ile story ya paka.
 
stori ya kitambo sana hii
 
Hiyo sikuijua,ila nilikuwa nasikia inanunuliwa kwa ajili ya ule uzi mweupe kama wa madini hivi katikati ya noti, mateja wanatoa ule uzi na kuaanza kuusugua na kunusa kama aina ya kilevi wakiwa na arosto za madawa.

Kuna kipindi noti ikiwa haina ule uzi wafanyabiashara hawapokei, mi kama mara mbili nilishikishwa hizo noti haina huo uzi,nilikuja kutoa kwa shida baada ya kuweka uzi wa mfuko wa sulphate na kuunganisha
 
Mfuko wa sulphate🤣🤣🤣
 
Wanachokifanya wanakuja eneo husika na kutangaza wananunua hizo pesa let say Kwa sh.2000 Kwa noti Moja.Akitokea mtu anazo watazinunua Kisha watamuachia mawasiliano yao.Baada ya siku chache watampigia huyo mtu na kusema wana uhitaji tena wa hizo noti na awamu hii watanunua Kwa 50000/- Kwa noti.Wakishasema hivyo wewe uliyewauzia utapambana kufa na kupona uzitafute hizo pesa ili utengeneze pesa zaidi.Ndani ya masaa kadhaa atakuja mtu kwako ana noti kibao anakuulizia umpe contact awasiliane na hao wanunuzi,sasa kwa kuwa una uhitaji utamuuliza bei,yeye ANAWEZA kukutajia anauza Kwa 20k Kwa noti.Mnafanya biashara Kisha yule jamaa anaondoka.Kumbe huyo aliyekuuzia kwa 20k anatoka miongoni mwa hao matapeli.Baada ya hapo hutowaona tena
ni kweli kabisa. Ndiyo mambo yanavyokuwa.
 
Hahahahaha
 
Mimi nilihisi benki kuu ilitaka kuziondoa 500 mtaani kwa urahisi ndio maana ikaamua kutoa tenda kwa watu kuzinunua na mpaka leo benki kuu haijasema 500 za noti hazitumiki bali hazipo tu mtaani.
Mkuu umeongea kweli umenikumbusha kuna kipindi Tsh 500 za Sarafu kipindi zinatoka Sijui walijichanganya kwenye utengenezaji zilikuwa silver tupu..

Sasa ili kuzirudisha tena Na kuleta hizi tulizonazo wakaanza kuweka tenda kwa masonara kwamba wananunua 500 za sarafu (i think ilikuwa 2015 hivi) walinunua zote mpaka zikaisha baadae wale masonara ukiwapelekea wanakuambia hizi hazifai 😀😀
 
Wanachokifanya wanakuja eneo husika na kutangaza wananunua hizo pesa let say Kwa sh.2000 Kwa noti Moja.Akitokea mtu anazo watazinunua Kisha watamuachia mawasiliano yao.Baada ya siku chache watampigia huyo mtu na kusema wana uhitaji tena wa hizo noti na awamu hii watanunua Kwa 50000/- Kwa noti.Wakishasema hivyo wewe uliyewauzia utapambana kufa na kupona uzitafute hizo pesa ili utengeneze pesa zaidi.Ndani ya masaa kadhaa atakuja mtu kwako ana noti kibao anakuulizia umpe contact awasiliane na hao wanunuzi,sasa kwa kuwa una uhitaji utamuuliza bei,yeye ANAWEZA kukutajia anauza Kwa 20k Kwa noti.Mnafanya biashara Kisha yule jamaa anaondoka.Kumbe huyo aliyekuuzia kwa 20k anatoka miongoni mwa hao matapeli.Baada ya hapo hutowaona tena
Umenikumbusha Story ya Paka na wachina unaifahamu au nikuhadithie? 😀😀😀
 
Haahaaaaa
Mkuu umeongea kweli umenikumbusha kuna kipindi Tsh 500 za Sarafu kipindi zinatoka Sijui walijichanganya kwenye utengenezaji zilikuwa silver tupu..

Sasa ili kuzirudisha tena Na kuleta hizi tulizonazo wakaanza kuweka tenda kwa masonara kwamba wananunua 500 za sarafu (i think ilikuwa 2015 hivi) walinunua zote mpaka zikaisha baadae wale masonara ukiwapelekea wanakuambia hizi hazifai
 
Back
Top Bottom