DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Bhna story ilikuwa hivi...Kuna wachina Walitaka kutengeneza pesa wakaona Kule kwao kuna wajanja wengi kwahyo wakaamua kuja Bongo, Walipofika wakatangaza kununua Paka na wakasema kwamba Paka mmoja Ni Tsh 50,000/- ukimpeleka akiwa mzma..Haahaaaaa
Bhasi watoto wa mjini wakasema pesa si hiyo imejileta Wakaanza kusaka paka za kutosha mwezi paka 10 akaleta akapewa 500,000 yake na mwenye zaisi akafanya hivyo na alipata mpunga wake..
Sasa kutokana na kuuzwa kwa paka wengi sana paka wakaadimika kijijini ikabidi waanze kifata mpaka vijiji vya jirani kusanya paka kama hawana akili nzuri watu wakawa wanaokota maokoto tu...
Sasa ile point mchina baada ya kuona paka wamekuwa adimu hapo na yeye ndo akachukua oportunit akatangaza kuongeza Dau la paka Akasema paka Mmoja ni 200k Utapewa kama akiwa mzima...
Sasa hapo watu moto ukawashika..
(Siunajua masikini akiwa anawaza hela huwa akili inaruka)
Wakaenda mpaka vijiji vya Jirani Hola ...
Sasa walichofanya ni kwamba walienda kijiji cha mbali kidogo wakawapa watu wale paka waliouziwa wawauzie kwa 100k mmoja wale watu walishangaa ila waliambiwa lazma watu watakuja kununua hawa paka na wataisha leo leo...
Halafu wale wachina wakawaambia washikaji tumesikia kijiji X kuna paka nendeni mkacheck huko Hlafu mkipata Jumamosi njooni hapa warehousing tutanunua kwa 500k mmoja..
Waafrika sas kwa uroho wa pesa wakaenda kile kijiji wakanunua paka wote 😀😀 kwa bei kubwa Mmoja walinunua kwa 150k
Waliporudi hiyo jumamosi wachina walikuwa wameshachukua Pesa na wamesepa wao wamejaza kijiji kizima mipaka Ya kutosha 😀😀 kama Ng'ombe..
Na hela ya mchina ika wa imerudi mara mbili yake