Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Wanachokifanya wanakuja eneo husika na kutangaza wananunua hizo pesa let say Kwa sh.2000 Kwa noti Moja.Akitokea mtu anazo watazinunua Kisha watamuachia mawasiliano yao.Baada ya siku chache watampigia huyo mtu na kusema wana uhitaji tena wa hizo noti na awamu hii watanunua Kwa 50000/- Kwa noti.Wakishasema hivyo wewe uliyewauzia utapambana kufa na kupona uzitafute hizo pesa ili utengeneze pesa zaidi.Ndani ya masaa kadhaa atakuja mtu kwako ana noti kibao anakuulizia umpe contact awasiliane na hao wanunuzi,sasa kwa kuwa una uhitaji utamuuliza bei,yeye ANAWEZA kukutajia anauza Kwa 20k Kwa noti.Mnafanya biashara Kisha yule jamaa anaondoka.Kumbe huyo aliyekuuzia kwa 20k anatoka miongoni mwa hao matapeli.Baada ya hapo hutowaona tenaMkuu tuambie basi ulicho baini...
Wanachokifanya wanakuja eneo husika na kutangaza wananunua hizo pesa let say Kwa sh.2000 Kwa noti Moja.Akitokea mtu anazo watazinunua Kisha watamuachia mawasiliano yao.Baada ya siku chache watampigia huyo mtu na kusema wana uhitaji tena wa hizo noti na awamu hii watanunua Kwa 50000/- Kwa noti.Wakishasema hivyo wewe uliyewauzia utapambana kufa na kupona uzitafute hizo pesa ili utengeneze pesa zaidi.Ndani ya masaa kadhaa atakuja mtu kwako ana noti kibao anakuulizia umpe contact awasiliane na hao wanunuzi,sasa kwa kuwa una uhitaji utamuuliza bei,yeye ANAWEZA kukutajia anauza Kwa 20k Kwa noti.Mnafanya biashara Kisha yule jamaa anaondoka.Kumbe huyo aliyekuuzia kwa 20k anatoka miongoni mwa hao matapeli.Baada ya hapo hutowaona tena
stori ya kitambo sana hiiWanachokifanya wanakuja eneo husika na kutangaza wananunua hizo pesa let say Kwa sh.2000 Kwa noti Moja.Akitokea mtu anazo watazinunua Kisha watamuachia mawasiliano yao.Baada ya siku chache watampigia huyo mtu na kusema wana uhitaji tena wa hizo noti na awamu hii watanunua Kwa 50000/- Kwa noti.Wakishasema hivyo wewe uliyewauzia utapambana kufa na kupona uzitafute hizo pesa ili utengeneze pesa zaidi.Ndani ya masaa kadhaa atakuja mtu kwako ana noti kibao anakuulizia umpe contact awasiliane na hao wanunuzi,sasa kwa kuwa una uhitaji utamuuliza bei,yeye ANAWEZA kukutajia anauza Kwa 20k Kwa noti.Mnafanya biashara Kisha yule jamaa anaondoka.Kumbe huyo aliyekuuzia kwa 20k anatoka miongoni mwa hao matapeli.Baada ya hapo hutowaona tena
Hiyo sikuijua,ila nilikuwa nasikia inanunuliwa kwa ajili ya ule uzi mweupe kama wa madini hivi katikati ya noti, mateja wanatoa ule uzi na kuaanza kuusugua na kunusa kama aina ya kilevi wakiwa na arosto za madawa.Wanachokifanya wanakuja eneo husika na kutangaza wananunua hizo pesa let say Kwa sh.2000 Kwa noti Moja.Akitokea mtu anazo watazinunua Kisha watamuachia mawasiliano yao.Baada ya siku chache watampigia huyo mtu na kusema wana uhitaji tena wa hizo noti na awamu hii watanunua Kwa 50000/- Kwa noti.Wakishasema hivyo wewe uliyewauzia utapambana kufa na kupona uzitafute hizo pesa ili utengeneze pesa zaidi.Ndani ya masaa kadhaa atakuja mtu kwako ana noti kibao anakuulizia umpe contact awasiliane na hao wanunuzi,sasa kwa kuwa una uhitaji utamuuliza bei,yeye ANAWEZA kukutajia anauza Kwa 20k Kwa noti.Mnafanya biashara Kisha yule jamaa anaondoka.Kumbe huyo aliyekuuzia kwa 20k anatoka miongoni mwa hao matapeli.Baada ya hapo hutowaona tena
Mfuko wa sulphateπ€£π€£π€£Hiyo sikuijua,ila nilikuwa nasikia inanunuliwa kwa ajili ya ule uzi mweupe kama wa madini hivi katikati ya noti, mateja wanatoa ule uzi na kuaanza kuusugua na kunusa kama aina ya kilevi wakiwa na arosto za madawa.
Kuna kipindi noti ikiwa haina ule uzi wafanyabiashara hawapokei, mi kama mara mbili nilishikishwa hizo noti haina huo uzi,nilikuja kutoa kwa shida baada ya kuweka uzi wa mfuko wa sulphate na kuunganisha
stori ya kitambo san
Watasoma wenginestori ya kitambo sana hii
ni kweli kabisa. Ndiyo mambo yanavyokuwa.Wanachokifanya wanakuja eneo husika na kutangaza wananunua hizo pesa let say Kwa sh.2000 Kwa noti Moja.Akitokea mtu anazo watazinunua Kisha watamuachia mawasiliano yao.Baada ya siku chache watampigia huyo mtu na kusema wana uhitaji tena wa hizo noti na awamu hii watanunua Kwa 50000/- Kwa noti.Wakishasema hivyo wewe uliyewauzia utapambana kufa na kupona uzitafute hizo pesa ili utengeneze pesa zaidi.Ndani ya masaa kadhaa atakuja mtu kwako ana noti kibao anakuulizia umpe contact awasiliane na hao wanunuzi,sasa kwa kuwa una uhitaji utamuuliza bei,yeye ANAWEZA kukutajia anauza Kwa 20k Kwa noti.Mnafanya biashara Kisha yule jamaa anaondoka.Kumbe huyo aliyekuuzia kwa 20k anatoka miongoni mwa hao matapeli.Baada ya hapo hutowaona tena
Unaunganisha tu vizuri na mtu hawezi kugunduaMfuko wa sulphate[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HahahahahaWanachokifanya wanakuja eneo husika na kutangaza wananunua hizo pesa let say Kwa sh.2000 Kwa noti Moja.Akitokea mtu anazo watazinunua Kisha watamuachia mawasiliano yao.Baada ya siku chache watampigia huyo mtu na kusema wana uhitaji tena wa hizo noti na awamu hii watanunua Kwa 50000/- Kwa noti.Wakishasema hivyo wewe uliyewauzia utapambana kufa na kupona uzitafute hizo pesa ili utengeneze pesa zaidi.Ndani ya masaa kadhaa atakuja mtu kwako ana noti kibao anakuulizia umpe contact awasiliane na hao wanunuzi,sasa kwa kuwa una uhitaji utamuuliza bei,yeye ANAWEZA kukutajia anauza Kwa 20k Kwa noti.Mnafanya biashara Kisha yule jamaa anaondoka.Kumbe huyo aliyekuuzia kwa 20k anatoka miongoni mwa hao matapeli.Baada ya hapo hutowaona tena
Mkuu umeongea kweli umenikumbusha kuna kipindi Tsh 500 za Sarafu kipindi zinatoka Sijui walijichanganya kwenye utengenezaji zilikuwa silver tupu..Mimi nilihisi benki kuu ilitaka kuziondoa 500 mtaani kwa urahisi ndio maana ikaamua kutoa tenda kwa watu kuzinunua na mpaka leo benki kuu haijasema 500 za noti hazitumiki bali hazipo tu mtaani.
Umenikumbusha Story ya Paka na wachina unaifahamu au nikuhadithie? πππWanachokifanya wanakuja eneo husika na kutangaza wananunua hizo pesa let say Kwa sh.2000 Kwa noti Moja.Akitokea mtu anazo watazinunua Kisha watamuachia mawasiliano yao.Baada ya siku chache watampigia huyo mtu na kusema wana uhitaji tena wa hizo noti na awamu hii watanunua Kwa 50000/- Kwa noti.Wakishasema hivyo wewe uliyewauzia utapambana kufa na kupona uzitafute hizo pesa ili utengeneze pesa zaidi.Ndani ya masaa kadhaa atakuja mtu kwako ana noti kibao anakuulizia umpe contact awasiliane na hao wanunuzi,sasa kwa kuwa una uhitaji utamuuliza bei,yeye ANAWEZA kukutajia anauza Kwa 20k Kwa noti.Mnafanya biashara Kisha yule jamaa anaondoka.Kumbe huyo aliyekuuzia kwa 20k anatoka miongoni mwa hao matapeli.Baada ya hapo hutowaona tena
Mkuu umeongea kweli umenikumbusha kuna kipindi Tsh 500 za Sarafu kipindi zinatoka Sijui walijichanganya kwenye utengenezaji zilikuwa silver tupu..
Sasa ili kuzirudisha tena Na kuleta hizi tulizonazo wakaanza kuweka tenda kwa masonara kwamba wananunua 500 za sarafu (i think ilikuwa 2015 hivi) walinunua zote mpaka zikaisha baadae wale masonara ukiwapelekea wanakuambia hizi hazifai
Lakini bado watu wanatapeliwa mkuu.stori ya kitambo sana hii
hapana, hii stori ilikua ni ya kuchangamsha genge ,Lakini bado watu wanatapeliwa mkuu.