Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Time heals everything 😭 Mpwa.......Uliwezaje ku move on kutoka kwa mpenzi uliyempenda sana?
Pole sana,sasa unaendeleaje na hali?Ni Mungu tu
Napitia kwenye hii hali.Love is just like a war easy to start difficult to end.
Niliwai penda sikua na pesa Wala Maisha nikaachwa solemba akaenda kuolewa alichoka zile NGOJA,KESHO,BAADAE zangu nikakonda nikapukutika ilikua inapita siku tatu sijala chochote.
Usiku unakaa macho mpaka asubuh ndipo unalala kidogo mawazo mengi mengi yana cross medulani
Nilivuka salama nikiwa very strong & heartless
Usife...songa mbele kama injili...when love ends life continueNapitia kwenye hii hali.
Naumia sana ila sina jinsi.
Sikuwahi kuwaza kama mapenzi yanaweza kunifanya hivi.
Nahisi kufa kufa tu.
Huwezi kufa ,,Hapo ndo unakomaa uwe vizuriNapitia kwenye hii hali.
Naumia sana ila sina jinsi.
Sikuwahi kuwaza kama mapenzi yanaweza kunifanya hivi.
Nahisi kufa kufa tu.