Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Hii ni moja ya sababu za Afrika kukosa strong industrial base, watu mnawaza sana mapenzi kuliko kazi.Kama maisha yako umeyaegemeza kwenye kisasini chochote (movable, unstable object), kamwe katu usitegemee kuwa imara pale mambo yanapoenda mrama.
Iwapo kuna jambo moja ambalo mwanadamu anapaswa kujifunza, basi ni kwamba moyo ni idara nyeti mno kumkabidhi mtu mwingine autawale apendavyo.
Ni kweli kupenda kupo, lakini upendo bila akili yenye maarifa ni upumbavu. Blind love will always lead the very individuals into a ditch.