Uliwezaje ku move on kwa mtu uliyempenda sana?

Uliwezaje ku move on kwa mtu uliyempenda sana?

Kuwekeza moyo kwa mtu mwingine anae kuchukulia poa/asiye kupenda ni Maumivu.

Unaweza kujirusha hata kwenye high speed cars ikugonge au kujinyonga Ila cool down haupo pekeako .

Unajua nilisha wai kua kwenye state ya kupoteza kila kitu nilicho kipambania Maishani unakua na moyo mgumu Sanaa na familia yangu now yenye upendo.

Mambo mengi hutokea sababu ya "DEVINE PURPOSE" ni Maumivu per day
Acha tu mkuu sikuwahi kuumia kiasi hiki kisa mapenzi.

Inaweza pita siku sijala kitu..

Bad enough huko alipo hajali chochote kuhusu hiki nachopitia.

Kila nikikaa zile moments tulizo share wote ndio zinanitesa.
 
Acha tu mkuu sikuwahi kuumia kiasi hiki kisa mapenzi.

Inaweza pita siku sijala kitu..

Bad enough huko alipo hajali chochote kuhusu hiki nachopitia.

Kila nikikaa zile moments tulizo share wote ndio zinanitesa.
Mimi ilikua inapita siku tatu bila kula wala kupata usingizi

Siku za mwanzoni baada ya kukaa siku 3 bila kula jion hiyo nikasikia njaa nikaenda jikoni nikajaza sahani ya wali na michuzi ya SAMAKI na vipande vya SAMAKI.

Tonge la kwanza Ile michuzi na chumvi chumvi ilinichana chana kuanzia mdomoni,kooni mpaka, gafla koo likaziba na kua na madonda nikashindwa kula Tena huku na njaa Kali Sana ikabidi niishi kwa kunywa juice za Mango.

Be brave utavuka usimbembeleze Wala kutaka mrudiane sawaa
 
Chukua kalamu na daftari orodhesha kasoro zake zote za tabia na mwonekano ukikaa kuzisoma mwenyewe utatambua kumbe ulikuwa unapenda kituko

Sio maneno yangu ni mdau tu fulani alisemaga
Hii ni nzurii nikutafuta sabab mbaya mbaya TU.

Ili upate sababu ya kuchukia nikutafuta habari/weakness zake & everything bad
 
Mimi ilikua inapita siku tatu bila kula wala kupata usingizi

Siku za mwanzoni baada ya kukaa siku 3 bila kula jion hiyo nikasikia njaa nikaenda jikoni nikajaza sahani ya wali na michuzi ya SAMAKI na vipande vya SAMAKI.

Tonge la kwanza Ile michuzi na chumvi chumvi ilinichana chana kuanzia mdomoni,kooni mpaka, gafla koo likaziba na kua na madonda nikashindwa kula Tena huku na njaa Kali Sana ikabidi niishi kwa kunywa juice za Mango.

Be brave utavuka usimbembeleze Wala kutaka mrudiane sawaa
Siwezi kumbembeleza mzee wangu.

Current am finding a better version of me.
 
Time will heal you...

...and one day hizo nati kwenye moyo na kooni zitaachia. Na utajiona boya sana...

Jipe muda. You will be OK!

deed8818-4d69-407c-afc1-f84a5092ddd2.jpeg
 
Watu huwa tunakosea kitu kimoja kumpenda mtu kwa 100% na hapo ndipo tatizo linapoanzia.


Yaani tunalenga faida tu kwenye mahusiano bila kujua kuna kuachana au kusalitiana,na ndo maana wengi wakiachana utaskia mara flani,kajiua au kanywa sumu n.k

USHAURI WANGU
1.Ukianzisha mahusiano ujue na kuachwa au kusalitiwa kupo so usijedhani uliyenae utadumu nae 100% japo inawezekana ukadumu nae ila hilo usiliamini sana.

2.We kuwa 50% kwa 50% hilo litakusaidia sana hata ikitokea mmeachana maana utakuwa upo tayari kukabiliana na matokeo yoyote yatakayotokea hilo litakusaidia sana.

3.Maumivu atakayo yapata mtu aliyejiaminisha 100% kwenye mahusiano na wewe wa fifty fifty ni tofauti sana.

HIZI TARATIBU HUWA ZINANISAIDIA SANA WAKUU
 
Na0Mba NiSikUfAriji hUt0ki lEo kWeNYe hiCho kiZiNGa
Ila kUElEkEa UNaP0PatAka sAsa, NikUShAUri

kUMbUka M0MeNts AMbAZo UlikUa hUMUWaz sANa kiPiNdi Mko PaM0ja,iShi kWeNYe hiZo EVENts

USif0RCe kUMSahAu kWAni Ndio AtAZidi kUkUuMiZa,iShi tu kAMa kAWAida ila EPUka C0NtACt NAe z0Z0te.kUM'aNGAlia,kUMtAfUta kWa SiMu,kUViEw PaGe ZAke Za MtANdAo

UkiWa PaM0ja Na MAbEStie zAke kUa Nao kWa UPeNdo,MkiAGaNa sAhAu kAbiSa kUhUs Wao USitAke kUa Na MAWaSiliANo Nao,YAsio Ya MUhimu

0NGeZa NGUVu Na jitihAda kWeNYe MAMbo UNaYo PENda WeWe,ViZUri YASiWe AMbAYo YANa kUkUMbUSha kUhUs YEYe aU UYafANYe kWeNYe MaZiNGira t0fAUti

kUMbUka Pia WeWe Ndie UNaMPeNda,kWahiVYo YEYe Ndie AMeP0tEza kUPeNdWa Sio WEWe

kUbAli kUPotEZa Ch0Ch0te AMbACho diReCtly kiNa kUPelEkEa kUMkUMbUka kWa Mda MrEfu

hAVe fUn,Sh0w l0Ve kWa WAshkAji SPeNd MUda Na WaNa

tAfUta Mtu UNaYEMWaMin MUelEze hAri UNaY0Pitia tUMia Njia AMbAYo UMekUa Ukib0Nd sANa Na hUYo MWaNAdAda kAMa ilikUa Ni MeSEji,CAlls au kUkUtANa PhYSiCally fANya hiVyo Na hUYo Mtu(hAPa Pa WakUMUaMin Ni ViGUm kid0Go,Pia Ni Aibu kWa NaMna fUlANi kUelEza Y0te Ya M0Y0ni ila UNaWEza kUMtUMia Mtu MGeNi ASiYekUfAhAm ViZUri kWa MfANo MiMi tUMekUtANa hUMu jAMViNi)

hiVi kAribUni USiPeNde kWa dhAti,fANYa kUt0NG0za f0r lEiSUre,hili nA0Mba UlifANye hASWa( kiNa dAda MNiSaMEhe)
Ila NakUShAUri Ata bAda Ya hii hAri USiPENde hAWa WaNAWAke kWa ASiliMia 100 UkAjikAbidhi Au UkAWekEZa kWao

kAMa Ni ViGUm kUP0tEza NaMba zAke,kWa MfANo MPo W0te kWeNYe GrUp M0ja la WhAtSp AMbAlo Ni la MUhim sANa kUMbUkUMbu Ya jiNa lAke itAkAa ikikUuMiZa zAidi ChakUfANYa USifUte jiNa ikAbAki NAMba We fANYa kUMsAVe NeNo l0l0te(liSiWe jiNa la kiUMbe hAi,kEEp 0n ChANGing AftEr time) AjAri Ya tREn d0d0ma

lAZima ikUChUkUe MUda EVEry MAGic hAs PRiCe to PAy,USitEGEMEe tANGu UMUelEWe UMEPita MWaka Eti UMsAhAu kWa MWeZi Mm0ja hAPaNa(lAbda UWe UMekUfa)
SiNa EXPeRiENCe kWa WeNYe MiAka MiNGi hAo Wa ANniVERSAriEs Za MaElfu MAMia Na MakUMi Ya MiAka hUa iNakUWAjAGe kWao(hUa iNakUWAjAGe😊😊)
 
Back
Top Bottom