Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Lazima siku za Mwanzo mwanzo iume .nikila au kupika chakula kitamu, basi ime isha hiyo.
Huni jui vizuri, hata sasa hivi sikumbuki mara ya mwisho kupenda kimapenzi ni lini!Lazima siku za Mwanzo mwanzo iume .
Tafuta petty projects, una move on mdogo mdogoUliwezaje ku move on kutoka kwa mpenzi uliyempenda sana?
Mh,,nilivyokubali tu kua nimeachwa yani ninepigwa kibuti mambo yakawa yanaenda hivi