Naona mwandishi ame focus sana kuwa mafanikio ni kuwa na mapesa mengi, mapene wingi wa biashara na malimbikizi ya majumba na mali zingine nyingi nyingi.. ame base kwenye mafanikio ya aina moja tu.. MAFANIKIO NI NINI? Mtu akifanikiwa anakuaje? Tabia kiujumla au awe na pesa tu na kusaidia ndugu zake.. njia gani? Kapata hayo mafanikio ya kifedha kweli ameua na kutoa kafala ndio kapata mapesa je? Hayo ni mafanikio.. je? Anamapesa mengi ila amezaa na wanawake zaidi ya 7 na hatoi huduma mafanikio ya pesa ya a faida gani?.. mtoa mada sorry sana .. ngoja niache tu hii mada naona haipo upande wangu