Uliwezaje kufanikiwa ikiwa umetokea kwenye familia masikini na duni au kuanza maisha 2-0?

Uliwezaje kufanikiwa ikiwa umetokea kwenye familia masikini na duni au kuanza maisha 2-0?

Kwanza kufanikiwa nini kwa mtazamo wako? Maana inaweza kuwa na maana tofaiti kati ya mtu na mtu
Mafanikio ni kuwa na pesa za kuweza kutosheleza mahitaji yako yote au ya familia na kuweza kuweka akiba ya kutosha wakati wa dharura bila kutetereka kwa muda mrefu.
 
motivation spaeaker go lost you.
these things you listed here doesn't work any how in the field. life and successful always work in mysterious ways.
in Islam we say:,
Juhudi HAZISHINDI KUDRA.
Inawezekana kwako zisifanye kazi lakini kwa mwingine zikafanya kazi.

Don't Generalize?
 
Naona mwandishi ame focus sana kuwa mafanikio ni kuwa na mapesa mengi, mapene wingi wa biashara na malimbikizi ya majumba na mali zingine nyingi nyingi.. ame base kwenye mafanikio ya aina moja tu.. MAFANIKIO NI NINI? Mtu akifanikiwa anakuaje? Tabia kiujumla au awe na pesa tu na kusaidia ndugu zake.. njia gani? Kapata hayo mafanikio ya kifedha kweli ameua na kutoa kafala ndio kapata mapesa je? Hayo ni mafanikio.. je? Anamapesa mengi ila amezaa na wanawake zaidi ya 7 na hatoi huduma mafanikio ya pesa ya a faida gani?.. mtoa mada sorry sana .. ngoja niache tu hii mada naona haipo upande wangu
Mafanikio Ni pesa , hayo mafanikio mengine hufuata acha kujiliwaza.

Katafute pesa
 
Shida ya mafanikio yanakuja hata ww mwenyewe unashindwa kuelezea exactly ulifanikiwaje! Maana wanasema small action na activity unayochukua na kufanya siku hadi siku collectively huleta mafanikio yako ya leo na hizo collectively action and activity no one ever recorded it kidunia.

Pili watu waliofanikiwa huwa hawapend kuandika au kuongelea mafanikio yao,
Ukiona mtu anafanya hivyo basi ni motivational speaker au kafanikiwa kwa gafla na huo utajiri huo haudumu.

Mtu mmoja toka Msoga huko alisema mawazo hayapigwi rungu, chonde chonde nisipigwe rungu
 
Sijafanikiwa ila nafikiri nidhamu ya kazi, nidhamu ya pesa, kujitambua na kutokuiga maisha katika suala la starehe ndo msingi
 
Sijafanikiwa ila nafikiri nidhamu ya kazi, nidhamu ya pesa, kujitambua na kutokuiga maisha katika suala la starehe ndo msingi
Kabisa kaka mtu unatakiwa kujitambua wewe ni nani,umetoka wapi na wa kina nani wapo nyuma yako..
 
Ukisema unapew sapoti unazungumzia tabaka lingine kabisa.. KUNA wat wakipat bum wanasapoti nyumbani! Hawa watalaumiwa bure hapa na wenye mitaj
[emoji3][emoji3] ni kweli kaka ila katika familia niliyotoka sidhani kama ningebweteka baada ya chuo ningefika hapa nilipo japokua mola ndo mjuzi wa yote.

Na matumaini juu ya maisha yangu kwao yalikua makubwa,Lakini mtaani ndio kama hivo mtaani ni tofauti Kama tulivofikiri mwanzo.
 
Back
Top Bottom