Uliwezaje kufanikiwa ikiwa umetokea kwenye familia masikini na duni au kuanza maisha 2-0?

Uliwezaje kufanikiwa ikiwa umetokea kwenye familia masikini na duni au kuanza maisha 2-0?

Bila shaka kufanikiwa kwa mtu katika maisha inategemea mambo mengi sana na jambo mojawapo muhimu ni aina ya familia anayotoka.

Kwa watu wanaozaliwa katika familia tajiri "silver spoon" zenye kipato kizuri kutokufanikiwa ni wao waamue wenyewe kuharibu ila kwa wale wanaotoka katika familia maskini zenye kipato cha chini cha kuganga njaa tu maisha yasogee, zisizo na ardhi au mtaji, zisizo na elimu au koneksheni za maana njia ya mafanikio huwa ni jasho na damu, kama ni mchezo wa mpira tungesema wanaoanza maisha wakiwa nyuma 0-2 ,0-3 wakati wenzao wa familia bora wakiwa wanaongoza 2-0 na familia za kawaida 0-0

Uliwezaje kufanikiwa ikiwa umetokea familia maskini huku ukiwasadia baba, mama, kaka, dada, wajomba, shangazi, wapwa n.k wanaokutegema na kuhitaji msaada wako kuweza kujikimu? Mbinu gani ulitumia?
kujilipua
kuchangamkia fursa na kutochagua kazi na hatimaye kuwa multipurpose
 
According to you are Religion Beliefs.

How can i believe is true?
where did I want you to believe my religion?.does my comment wants you to convert to Islam? my religion doesn't concerned you and don't give a damn about it.
next time don't put your shit into my mention.
 
where did I want you to believe my religion?
usiwe blinded by Religion beliefs.
Toka lini dini ikawa ya mtu?

Ukisema my Religion (Dini yangu) it means mwenzetu umezaliwa na Dini, ulikuwa na dini tokea tumbo kwa mama.
In real sense wewe umezaliwa kama wewe dini umeadapt kutoka kwa wazazi wako.

Ulipaswa kusema kwa imani mimi naamini katika dini ya "Uislam".
 
usiwe blinded by Religion beliefs.
Toka lini dini ikawa ya mtu?

Ukisema my Religion it means mwenzetu umezaliwa na Dini, ulikuwa na dini tokea tumbo kwa mama yako.
In real sense wewe umezaliwa kama wewe dini umeadapt kutoka kwa wazazi wako.
ona unavyoruka RUKA.kuna wakati nilihisi umenikoti kimakosa then nikagundua ulikusudia kunikot ila haukuwa na relevant argument dhidi ya komenti yangu.

ulichokiandika hapa kinadhihilisha wewe ni litoto la namna gani.
Mama yako kaacha simu hapo mezan kaenda bafuni unachukua chap na kuingiza akaunt yako ya Jf na kuanza kukot kot watu hovyo.

NIMEKUPUUZA
 
ona unavyoruka RUKA.kuna wakati nilihisi umenikoti kimakosa then nikagundua ulikusudia kunikot ila haukuwa na relevant argument dhidi ya komenti yangu.

ulichokiandika hapa kinadhihilisha wewe ni litoto la namna gani.
Mama yako kaacha simu hapo mezan kaenda bafuni unachukua chap na kuingiza akaunt yako ya Jf na kuanza kukot kot watu hovyo.

NIMEKUPUUZA
Ahsante sana
 
Ahsante sana
you were supposed to do so before. but now it wouldn't add up anything to me, I'm already realizied How you are.


stop using your mama's phone to disturb matured men.
 
if you weren't a dull you wouldn't quote me again, as you are repeating the same thing me as well i will Hit your asshole continuously until you get sence.
Do you think i will be scared. Nop!
I'm waiting for another one awful words.......until you are satisfied.
 
We j
In order to be successful in real life it only needs three things courage, determination and discipline. Because discipline it will take you to the place where motivation can't.
anaa umeongea point sana determination na descipline ndo kitu kinatuumiza sana pia ukiwa na courage ambapo courage inabeba hardworking.Na kusali sana kwa imani yako kwangu mimi naona ndo outputs utaziona umetisha sana
 
Back
Top Bottom