Uliwezaje kufungia vyeti kabatini kisha ukajiajiri?

UKitaka kufanikiwa vizuri maishani, tengenevyo vyanzo vitatu vinavyotokana na:-
1: KILIMO
2: Ujasiriamali
3: Taaluma.

Ukichanganya hivyote vitatu, hutokuwa maskini kamwe.

Sawa mkuu
 
Heh! sio kufungia kabatini, kabati si linafunguka, choma moto kabisa ndio utatoboa
 
Familia yetu kwa asilimia 95 tumelelewa na mama kwa ukaribu sana, ilifikia hatua nikawa sina urafiki na mzee.
Unakuwaje na urafiki nae akati nyumban hakai ,unamaliza mwezi hujamtia machoni mzee wako.
 
UKitaka kufanikiwa vizuri maishani, tengenevyo vyanzo vitatu vinavyotokana na:-
1: KILIMO
2: Ujasiriamali
3: Taaluma.

Ukichanganya hivyote vitatu, hutokuwa maskini kamwe.
Ukitaka kufanikiwa katika level nzuri zaidi lazima ununue mda wa watu:
 
Kuwa mbali kwa muda kwa biashara yako ni sawa, lakini kuwa mbali kwa muda wote, kwa ajili ya biashara yako, bado ni sawa na utumwa wa kazi ya kuajiliwa.
Haieleweki unakubaliana na lipi wewe mkuu.
 
Exactly mkuu... Kama kuna fursa anaiona kwa sasa baada ya miaka hiyo mitatu itakua ishaota mbawa... Kama anauwezo wa kuifanyia kazi bhasi wakati wake ni sasa. Hiyo fursa haitomsubiri amalize chuo...
 
Anytime you should have to be an assertive person!
KUWA MTU WA KUTHUBUTU MUDA WOTE.
 
Najua hutaamini this week nitaacha kazi, ndugu na jamaa wananikataza but I have decided reafy I to resign from the job! Ni utumwa sana.
 
Haieleweki unakubaliana na lipi wewe mkuu.
Unapoanzisha biashara, ni kuwa umeanzisha mfumo fulani ( system) ambayo itaendesha biashara. Hivyo siku za awali, kuelewa mfumo wako unaweza sababisha uende mbali kufuatilia mambo mbalimbali ili kuanza na kuweka sawa mambo.. Utaona mfumo bado utakuwa unakutegemea... Lakini baadaye, kama mfumo unafanya kazi vizuri, unakupa uhuru wa kutokuwepo au kusafiri sana kwa ajili ya mfumo..Ni hayo tu..
 
.............Una maana gani mkuu!!!au sijaelewa?
Unafanya biashara yako,hela yako hakuna anaekupangia matumizi ninini kitakachokufanya uwe mtumwa?
Lengo moja la biashara ni kukupa uhuru, wa kuamua aidha kuwepo kwenye biashara au la na mambo yanakwenda.. Lakini ukiona unakuwapo kwenye biashara muda wote, aidha aina ya biashara uliyochagua haikupi huo uhuru na inabidi uamue kama utaweza kuendelea kuishi na kufanya biashara kwa mfumo... Njia nzuri na biashara nzuri, ni pale ambapo umetengeneza mfumo ambao haukutegemei wewe ili biashara iende.. Hautakiwi wewe kuwa biashara, kufungua wewe, TRA wewe, mauzo wewe, kununua mzigo wewe... Hapo sasa umeanzisha kazi na sio biashara, tofauti umejiajiri mwenyewe na ule utumwa wa kuajiriwa bado utakuandama ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…