VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 512
- 398
Mkuu naomba ufafanuzi kuhusu zana ya kununua mda wa watuUkitaka kufanikiwa katika level nzuri zaidi lazima ununue mda wa watu:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba ufafanuzi kuhusu zana ya kununua mda wa watuUkitaka kufanikiwa katika level nzuri zaidi lazima ununue mda wa watu:
Hii nimeielewa Mkuu [emoji109]Lengo moja la biashara ni kukupa uhuru, wa kuamua aidha kuwepo kwenye biashara au la na mambo yanakwenda.. Lakini ukiona unakuwapo kwenye biashara muda wote, aidha aina ya biashara uliyochagua haikupi huo uhuru na inabidi uamue kama utaweza kuendelea kuishi na kufanya biashara kwa mfumo... Njia nzuri na biashara nzuri, ni pale ambapo umetengeneza mfumo ambao haukutegemei wewe ili biashara iende.. Hautakiwi wewe kuwa biashara, kufungua wewe, TRA wewe, mauzo wewe, kununua mzigo wewe... Hapo sasa umeanzisha kazi na sio biashara, tofauti umejiajiri mwenyewe na ule utumwa wa kuajiriwa bado ukakuandama ..
Pamoja MkuuHii nimeielewa Mkuu [emoji109]
shule nenda miaka mitatu sio mingi itakusaidia kutengeneza marafiki ambao wengine wanaweza kuwa fursa kwako na pia kiwango chako cha uelewa kitakuwa kikubwa.Wakuu mje kunitia moyo. Mimi nimemaliza form six mwaka huu. Ila naona ndoto yangu ya ujasiriamali ni kubwa kuliko kupoteza miaka 3 chuo na kozi zisizona uhalisia.
baada ya kazi kwisha ghafla niliomba kazi sehemu mbalimbali bila mafanikio na mwisho nilipolipwa nssf yangu nikalipia kodi ya ofisi nikachukua computer nyumbani sehemu nyingine nikalipa kodi ya nyumba shughuli ikaanza kwa kuanza biashara ya ushauri wa wajasiriamali wadogo na benki jamii ikiwa ni pamoja na kuwashauri kuhusu mikopo.Habari yenu wakuu, ni matumaini yangu mu wazima wa afya.
Kumekua na misemo na dhana kwamba wasomi wengi hawapendi au wanashindwa kujiajiri, na hutegemea kuajiriwa tu au kazi za mteremko. Mliojiajiri hebu tuambieni mliwezaje kufungia hayo magamba ndani kisha mkaingia mtaani .
Word!UKifanya kimoja, nakuhakikishia kuwa hutofika mbali. Ukifanya vyote utakuwa salama zaidi. kuwa na multiples sources ni jambo jema sana.
biashara ya mazishi inalipa ila jamii haielewi kirahisi lazima watakwita mjenzi huru! huko nyuma nilishawahi kumshawishi mtu atengeneze business plan yake na nikamweleza jinsi inavyolipa. watu wanajaribu kufanya ila bado hawajafikia kile ambacho mimi naamini kinalipa kwa kiasi kikubwa.Mbona kitu simple tu!
Mfano mimi nina degree ya public relation
Lakini kutokana na kukosa ajira nikaamua kuwa muuza majeneza na vumbi la Kongo
Naomba shavu la u-spikabaada ya kazi kwisha ghafla niliomba kazi sehemu mbalimbali bila mafanikio na mwisho nilipolipwa nssf yangu nikalipia kodi ya ofisi nikachukua computer nyumbani sehemu nyingine nikalipa kodi ya nyumba shughuli ikaanza kwa kuanza biashara ya ushauri wa wajasiriamali wadogo na benki jamii ikiwa ni pamoja na kuwashauri kuhusu mikopo.
ilipita miaka minne sijapata mteja wa maana lakini uongo nikitumia printer mbili moja ilikuwa scanner iliyogeuka kuwa photocopy machine kwa kuscan na kuprint kwenye printer nyingine maisha yalienda.
ikatokea kazi moja ya NGO moja nikajazana watu zaidi ya 10 na kwa bahati nikashinda ndipo nilipoanza kusogea.
hivyo inahitaji uvumilivu na kuamini unachotegemea kufanya.
bado kunachangamoto sijasimama vizuri lakini maisha yanakwenda ndugu yangu wala sifikirii kuomba kazi tena labda offer iwe ya maana na lazima anayeniajiri aniruhusu kufanya shughuli zangu zinapotokea vinginevyo akwende na kazi yake.
Kuna siku mzee alikuwa busy na kazi sometimes tunamsaidia home sasa my young bro akamuuliza'hivi hizi kazi zitaisha lini?'Nilikuwa nikichukia sana nilipokuwa namuona baba yangu akiamka asubuhi na kurudi jion akisema anakwenda kazini mara nyingine tusimuone wiki au mwezi mzima nyumbani akiwa safarini.
Unamawazo yenye misingi ya woga usio na maana na wewe ni zao la shule cheti sio shule elimu,nimemaliza elimu ya juu miaka mitano iliopita na mpaka leo sijafuata cheti changu chuoni,kwa mshahara upi hapa tz?Kusema ni rahisi sana, iko mbali sana na uhalisia!
Tusiwajaze watu matumaini hewa. Yeye kama ana passion ya kujiajiri aende tu huko ila pia kama anaajirika aende huko pia!
Ingekuwa kuajiriwa ni kubaya leo tungekuwa na maskini wengi kuliko tulionao leo.
Wengi ambao wamejiajiri ni ama hawakuwa na sifa za kiajiriwa katika ngazi aliyoitamania ama waliajiriwa wakapata ajali ktka ajira hizo na hivyo kutumia upande wa pili kujiari.
Ila asikudanganye mtu, kuajiriwa ni poa zaidi ili upatacho ukiweke katika kuajiri wengine.
pointKujiajiri yataka ujasiri mwingi sana hasa kwa wenye elimu ya vyeti hupata shida sana kuingia kwenye kujiajiri no hadi kuja kuzoea
Adui mkubwa wa kuanza kujiajiri ni AIBU na UOGA uliopitiliza ukivishinda hivi lazima utusue tu na baada ya kujiajiri kinachotakiwa ukishinde ni KUKATA TAMAA kwani kwenye kujiajiri kuna changamoto kubwa sanaaa, ukishinda hivyo hakika umaskini utausikia tu.
100%!!Watu wengi wamepoint passion na vision mimi ngoja nitaje biashara ambazo nimekua na hands on experience halafu tuone mtaji una nafasi gani.
Ukiamua kua unajishughulisha na uuzaji muvi ziwe zilizotafsiriwa au na zisizotafsiriwa utahitaji.
Computer desktop huanzia shilingi 150K mpaka 250K.
Hard disk, kwakua hauna hela unanunua za ndani kisha unazivalisha case ili utumie kama external Terabyte moja ni shilingi 120K unahitaji Terabyte 5 mpaka 10 ili usiwazie space.
Kama unadeal na muvi zilizotafsiriwa (seasons za wakina Murphy) zinatoka kila Jumatatu, kila moja ni 1000 na kwa wastani zinatoka 40.
Fremu kutegemea na eneo ulilopo itaanzia 50K mpaka 120K.
Lakini kwakua wewe biashara unaianza kati inamaanisha seasons za nyuma hauna hivyo utawasiliana na ambao wapo kwenye gemu kitambo ili uzipate za nyuma zote. Ili kumpooza andaa kama 50K.
Kama utadeal na muvi ambazo hazijatafsiriwa pia utahitaji smartphone na vifurushi au nunua modem na kujiunga vifurushi kila siku kwa ajili ya kudownload muvi mpya.
Viti vya wateja na kiti chako jumla ni kuanzia 140K.
Kisha itabidi uwe na balansi ya kukubeba kipindi unabembeleza wateja.
Piga hesabu kwenye hii utahitaji mtaji shilingi ngapi.
Kuna bodaboda, pikipiki ambazo wateja wengi wanazitaka ni Boxer. Dukani boxer ni Milioni 2.4 za wachina ni milioni 1.5. Ukinunua kwa mtu angalau anza na mfukoni uwe na Milioni 1.5 faida ni utakuta kodi na vitu vingine vishalipiwa ila wewe unaweza kugharamia services kidogo ili usonge mbele.
Hesabu kwa siku ni 7K kama hamjapeana mkataba wa akimaliza kukufanyia kazi pikipiki inakua yake dereva, kama mmepeana mkataba huo kwa siku hesabu ni 10K.
Kilimo niliishia njiani niliishia kuwa na ardhi tu lakini ilihitajika kama milioni tano kwa kilimo cha maembe cha ekari moja.
Hoja yangu ni hii kujiajiri kunakula hela, hii siyo siri, sasa wazia kijana niliyemaliza chuo, familia maskini huo mtaji wote natoa wapi? Nakumbuka ilibidi niende kwa mmiliki wa fremu nikamwambia naomba nikulipe kwa siku kwakua sina uwezo wa kukupa hela unayotaka (ilikua kodi ni 70K na unalipa kwa mwaka) nikamwambia kila siku nitakupa 6K.
Hua nahisi kazi pekee ambayo pesa kama mtaji hauhitajiki kwa kiwango kikubwa ni udalali wa magari, hapa unahitaji connections za uhakika tu.
Anyway kila mtu na njia yake wengine njia hazijanyooka wakati wengine zimenyooka. Uwe na bahati njema.
Kama anapiga kilimo cha umwagiliaji haina shidaKwamba kabla ya hata kumaliza msimu tayari amepata vyote hivyo, ngumu kuamini.
Anyway mtu kuamua kufanya jambo usije muiga ukidhani nawe utapita katika njia ileile alopita, kila mtu hujua amefanya nini kufanikisha yale yanayoonekana na wengi wetu huwa tunazungumzia mafanikio tunayoyaona bila kujua nini kipo nyuma yake.
very true,,,,,, nimekuelewa sanaKujiajiri yataka ujasiri mwingi sana hasa kwa wenye elimu ya vyeti hupata shida sana kuingia kwenye kujiajiri no hadi kuja kuzoea
Adui mkubwa wa kuanza kujiajiri ni AIBU na UOGA uliopitiliza ukivishinda hivi lazima utusue tu na baada ya kujiajiri kinachotakiwa ukishinde ni KUKATA TAMAA kwani kwenye kujiajiri kuna changamoto kubwa sanaaa, ukishinda hivyo hakika umaskini utausikia tu.
Pamoja sana chifu.very true,,,,,, nimekuelewa sana
nakomaa na samaki wabichi kutioka mwanza kuleta darBiashara gani?
Hongera kwa uthubutu na kudumu. Uko vizuri, uwa kabisa na usikubali roho ya kuajiliwa ikuingie tena.baada ya kazi kwisha ghafla niliomba kazi sehemu mbalimbali bila mafanikio na mwisho nilipolipwa nssf yangu nikalipia kodi ya ofisi nikachukua computer nyumbani sehemu nyingine nikalipa kodi ya nyumba shughuli ikaanza kwa kuanza biashara ya ushauri wa wajasiriamali wadogo na benki jamii ikiwa ni pamoja na kuwashauri kuhusu mikopo.
ilipita miaka minne sijapata mteja wa maana lakini uongo nikitumia printer mbili moja ilikuwa scanner iliyogeuka kuwa photocopy machine kwa kuscan na kuprint kwenye printer nyingine maisha yalienda.
ikatokea kazi moja ya NGO moja nikajazana watu zaidi ya 10 na kwa bahati nikashinda ndipo nilipoanza kusogea.
hivyo inahitaji uvumilivu na kuamini unachotegemea kufanya.
bado kunachangamoto sijasimama vizuri lakini maisha yanakwenda ndugu yangu wala sifikirii kuomba kazi tena labda offer iwe ya maana na lazima anayeniajiri aniruhusu kufanya shughuli zangu zinapotokea vinginevyo akwende na kazi yake.
Hongera sana Mkuubaada ya kazi kwisha ghafla niliomba kazi sehemu mbalimbali bila mafanikio na mwisho nilipolipwa nssf yangu nikalipia kodi ya ofisi nikachukua computer nyumbani sehemu nyingine nikalipa kodi ya nyumba shughuli ikaanza kwa kuanza biashara ya ushauri wa wajasiriamali wadogo na benki jamii ikiwa ni pamoja na kuwashauri kuhusu mikopo.