Mungu akufanyie namna upate Golf ππWakuu habari ya hapa jukwaani.
Binafsi sina gari ila natamani sana kua na gari,mwaka 2017-2018 nilijaribu kufanya biashara ndogo ndogo na kuweka pesa ili angalau ninunue hata gari used ilipofika 2.3M nikaangukia pua...
Nilijichanga sana mpaka ndoto yangu ikatimia.Wakuu habari ya hapa jukwaani.
Binafsi sina gari ila natamani sana kua na gari,mwaka 2017-2018 nilijaribu kufanya biashara ndogo ndogo na kuweka pesa ili angalau ninunue hata gari used ilipofika 2.3M nikaangukia pua...
Kwa kipato cha around 700k ninakushauri dunduliza kidogo kidogo, ukifikisha kama m 3 hivi, tafuta mkopo salama wenye riba nafuu ongezea kwenye pesa uliyodunduliza upate angalau m6 au 7.Wakuu habari ya hapa jukwaani.
Binafsi sina gari ila natamani sana kua na gari,mwaka 2017-2018 nilijaribu kufanya biashara ndogo ndogo na kuweka pesa ili angalau ninunue hata gari used ilipofika 2.3M nikaangukia pua...
Kwa kipato cha around 700k ninakushauri dunduliza kidogo kidogo, ukifikisha kama m 3 hivi, tafuta mkopo salama wenye riba nafuu ongezea kwenye pesa uliyodunduliza upate angalau m6 au 7..
Kwa bajeti hiyo utaweza kumvua mtu baby walker iliyo kwenye hali nzuri. Bora utulie na utafute taratibu.
Utaipata tu kamandaEwaaaaa Golf au Polo GTI ndo ugonjwa wangu hizo vyuma vikipita lazima nigeuze shingo kuangalia.
Nikajua mipango inapokua mizuri acount ikinona ndo tamaa za gari zinakuja kumbe mnajikamua kabisaa ili umilki gari.
Nashauli utafute tu pesa habali ya gari achana nayo mkuu.
Ukimaliza kujikamua kumiliki gari pia jiandae kujikamua zaidi ili kuliendesha hilo gari.
Gari kubwa ya gari ipo baada ya kulinunua, usipokuwa makini, unaweza kuwa mtumwa wa gari.
Kama ni gari yako ya kwanza usithubutu kununua european car's utajuta kwa hapa bongo. Nunua toyota baby walker hizi. IST, VITS n.k au allex/runx ukichepuka sana nenda na nissan.Ewaaaaa Golf au Polo GTI ndo ugonjwa wangu hizo vyuma vikipita lazima nigeuze shingo kuangalia.
Nilidunduliza mshahara na marupurupu kwa muda wa miaka miwili na nusu 2018 I bought my first and last car, mwaka huu mtu kaipiga mzinga najipanga upya ingawa changamoto zimezidi sana huu mwaka....Inshaa Allah february mwakani nitazikimbia daladala tena....Wakuu habari ya hapa jukwaani.
Binafsi sina gari ila natamani sana kua na gari,mwaka 2017-2018 nilijaribu kufanya biashara ndogo ndogo na kuweka pesa ili angalau ninunue hata gari used ilipofika 2.3M nikaangukia pua...
Nilidunduliza mshahara na marupurupu kwa muda wa miaka miwili na nusu 2017 I bought my first and last car, mwaka huu mtu kaipiga mzinga najipanga upya ingawa changamoto zimezidi sana huu mwaka....Inshaa Allah february mwakani nitazikimbia daladala tena....
Kama ni gari yako ya kwanza usithubutu kununua european car's utajuta kwa hapa bongo. Nunua toyota baby walker hizi. IST, VITS n.k au allex/runx ukichepuka sana nenda na nissan...
NB:
Nimeshauri kutokana na kipato chako....
Nilimuazima baada ya dakika 10 napigiwa simu gari imekula kibati...Aisee hongera na pole mkuu...uyo mtu ulimuazimisha? Gari haikua na bima kubwa?