East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Mungu akufanyie namna upate Golf 🙏🙏Wakuu habari ya hapa jukwaani.
Binafsi sina gari ila natamani sana kua na gari,mwaka 2017-2018 nilijaribu kufanya biashara ndogo ndogo na kuweka pesa ili angalau ninunue hata gari used ilipofika 2.3M nikaangukia pua...