DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #201
Mchanga haubagui umeoa au ujaoa, ata ununue kahaba usishangae ukikuta nae anao.
Changamoto labda ikukute na ndoa ya kikatoliki, utakula tumbua Lina mchanga mpk kifo kiwatenganishe😂
Changamoto labda ikukute na ndoa ya kikatoliki, utakula tumbua Lina mchanga mpk kifo kiwatenganishe😂
Hapa KATAA Ndoa Wakipita WANASONYA WANATEMA MATE Kando