Kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe miaka zaidi ya 30 iliyopita nimetongoza wiki iliyopita. Siku zote nilikuwa natongozwa mimi. Nilivaa ujasiri maana aliuteka moyo wangu ghafla. Kazi kazi.Habari za wakati huu
Nimeona nilete mada muhimu kama hii mezani kwani kutongoza ni point muhimu sana iwe kwa mwanaume na hata kwa mwanamke japo ni nadra kusikia mwanamke katongoza
Naomba kuwasilisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bangeNilichambwa mbele ya rafiki zangu niliabika mimi,niliaibika sana!.
Sikia tu mtoto wakike amesimama mbele yako,mguu mmoja mbele, kiunoni kajivika kanga kana kwamba anataka kukata mauno! Halafu ananesanesa halooo!! Lile neno la "UNIKOME" nilikuwa nalisikia kuanzia kiambishi awali cha Kati na kiambishi tamati!,mzizi wa neno,na ndipo nilijua hilo neno ni sentensi ya kujitegemea na iliyijitosheleza!.
Nilikuwa mnyonge kama nimemwagiwa maji!.. kitoto cha watu kimefura,ule mtaa niliacha kwenda kwa wiki kadhaa.[emoji23]
Unaijua au unaandika tu..?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bange
Naijua kwani vp???Unaijua au unaandika tu..?
Hiyo kitu inaheshima yake usiiandike hovyohovyo tu.Naijua kwani vp???
[emoji849]Hiyo kitu inaheshima yake usiiandike hovyohovyo tu.
Pole[emoji849]
Pole ya nini??? [emoji15][emoji15]Pole
Acha vuruguPole ya nini??? [emoji15][emoji15]