TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Nilijing'atang'ata vibaya sana nna uhakika kabisa yule binti hakuelewa nilichokua naongea japo alikua ameshakula sana mandazi yangu. Mbaya zaidi kesho yake nikakutana nae yuko na li broo limoja huni kweli nahisi tu lilikua linaenda kummega nili mind balaa nikampiga chini kabla hata hajanikubalia.