Uliwezaje kutongoza kwa mara ya kwanza?

Nilijing'atang'ata vibaya sana nna uhakika kabisa yule binti hakuelewa nilichokua naongea japo alikua ameshakula sana mandazi yangu. Mbaya zaidi kesho yake nikakutana nae yuko na li broo limoja huni kweli nahisi tu lilikua linaenda kummega nili mind balaa nikampiga chini kabla hata hajanikubalia.
 
Usiku unapanga mashairi ya kuimbisha demu, pakikucha ukimuona mlengwa yote uliyopanga yanayeyuka unaongea mengine yasiyohusiana kabisa na mtongozo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nlitumia njia ya barua lakn bado kweny kumpa ikawa kasheshe. Kila nkimuona nahisi kuna neno litamkera naamua kuirarua naenda hom kupanga mashambulizi upya

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Da aisee unanikumbusha mbali sana miaka ya 95 hivi nilianza tabia mbaya ya kutongoza kwa kuandika barua za mapenzi kwa mwanafunzi mwenzangu, mwingine nilimtumia dada fulani jirani na home kwetu akaenda kunitongozoea na nikapewa majibu murua mie nikamalizia tu na kupewa gemu
 
Aiseee sisi madomo zege tunazungukaga saaana.....
Unamuonesha msichana kuwa unampenda yeye ndo aaamue....

Siku moja ingawa haikuwa ya kwanza kwa kweli hii miguu siyo ya kuiamini saaana...inaweza kukuumbua hahaaaaa...ilikuwa inagongana hatari
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117]
 
Nakumbuka kuna demu alikuja gheto,
Nikaishia kuweka nyimbo za video za Tabu Ley ,na Mbili Abel.

Sikuambulia kitu.[emoji3][emoji3],
Domo zege Ulimi kilo 2.
 
Ulizingua man" ile UNIKOME"wenyeji huwa tunastukiza Kofi la USO"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…