Duuh pole sana mkuu kwa uliyoyapitianilianza hivi
nilikumbwa na hivi kwa muda mmoja nikashindwa kujisimamia uko kichwani, stress za kumpoteza kaka yangu mpendwa, hapo hapo mchumba akanitema, baada ya msiba wa bro biashara iliyumba nikarudisha mpira kwa kipa na ujobless ukaingia
taratiiibu nikawa nanunua k vant ndogo naibugia chumbani pekeyangu na msongo wangu inisaidie kupata usingizi, nilianza kila baada ya wiki mbili napata kitu, badae ikawa kila baada ya wiki moja napata kitu mida yangu ya night kali
siku za mwanzo mwanzo nilikuwa nikipiga k vant ndogo nikiimaliza nakuwa hoi nalala, lakini sahiv nikipiga nalewa kidogo lakini bado sipati usingizi
nilianza hivyo na sababu hizo, nimekuwa mnywaji sasa lakin sio mlevi. nitaachana na pombe naona mapito yangu yameshaanza kuisha taratibu. Ingawa bado sijasimama
Kwanini unajikosesha raha namna hiyo mkuu, unataka kuishi maisha marefu??Sijawahi kunywa pombe mpaka 34 hii.Sijawah hata kugusa.
Sinywi energy drink yoyote
Sinywi chochote nje ya chai. Juice . Maji na sprite
Sawa mzee wa CocacolaSijawahi kunywa pombe mpaka 34 hii.Sijawah hata kugusa.
Sinywi energy drink yoyote
Sinywi chochote nje ya chai. Juice . Maji na sprite
Kula pombe wewe wacha maneno mengi....π€£Sijawahi kunywa pombe mpaka 34 hii.Sijawah hata kugusa.
Sinywi energy drink yoyote
Sinywi chochote nje ya chai. Juice . Maji na sprite
Naunga mkono hii hoja ya muhimu na makini sana...πNilianza kitambo hicho nikiwa primary, nikapumzika kwa muda mrefu mpaka nilipomaliza form 4 nikawa napiga sikukuu tu.
Nilipomaliza six nikafungulia bomba, sasa ni mnywaji mzuri tu
Pombe tamu jama, msiokunywa mnakosa mengi.
Maziwa nakunywa ila huwa sinywi.Hongera mkuu.
Ina maana hata maziwa hunywiiii
Ahahahah hapana mkuu.Hata sikukusudia na wala hata sijilazimish kuishi hivi.Ni vile tu nadhan nimekuzwa hivyo basi.Na siwalaumu au kuwatamani wanaokunywaKwanini unajikosesha raha namna hiyo mkuu, unataka kuishi maisha marefu??
Ukoo wenu ni watu mnaoishi maisha marefu, hayo ni mambo ya vinasaba ujue.
Hata sijui nitaanzaje..labda bado sijakutana na mazingira ya kunipeleka huko..Yakinikuta then i will seeKula pombe wewe wacha maneno mengi....π€£
Nilivyoona heading tu nikaamini lazima nimkute mwalimu wangu hapa.Kula pombe wewe wacha maneno mengi....π€£
Nisamehe kipenzi, sikujua kama utapita huku...πNilivyoona heading tu nikaamini lazima nimkute mwalimu wangu hapa.
mungu akiamua kukuongoza unaacha tu....Binafsi situmi, lakini sidhani kama ni ulevi mzuri huu wa pombe, sababu ikiingia kwenye damu kuiacha ni kazi kweli kweli.