KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,370
- 5,381
Alooooooooo.
Habari za wakati huu wana jukwaa.
Kama kawaida ya watu wengi wamekua wakizifagilia pombe kwamba ni miongoni wa starehe pendwa duniani.
Lakini kwangu mimi ni tofauti maana si mtumiaji wa pombe kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kiafya.
Nahitaji uzoefu wenu katika hili.
NB:UKIONA Uzi hauJaKuvuTIa kaa mbali❗❗❗