Uliwezaje kuzivuka changamoto na magumu uliyopitia maishani?

Kutokuogopa kuanza tena. Kuanza from the scratch, bila kuwaza wanadamu watakuonaje
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
I remember nilipo achaga kaz, 2020 ni kama nilianza maisha upya kwa ghafla. Maana ndani ya muda mfupi tuu nilijikuta siwez ku afford alot of thing mpka kulipa ada za watoto shule..yan kila kitu kika change ndani ya muda mfupi sana.
Nilijitahid kuhakikisha mind yangu inakaa kwa utulivu bila kujali sina kitu na sina sina tumain lolote la kupata kitu any time soon..
But with time and trials and focus and decisions za hapa na pale i started to get on my feet but it took quiet some time..long time
 
Kuomba,uvumilivu na kufanya kazi kutatua hizo changamoto.
 
Mfano halisi kabisa
 
 
Mimi bado sielewi nafanyaje na nimemaliza chuo niko home tu na mshua, japo napata kila kitu ila nataka kutoka home niwe na kwangu na maisha yangu, kile nilchosomea nimekuj kugundua sikipendi baada ya kumaliza, nilataka kuingia jeshi, sabab mshua yuko huko ila naona mambo hayaend, kuhus kipaji labd nina passiion ya kuwa producer wa music , miliwah fanya nilipokuw na age ya 18- 22, nikapuuza baad ya kuingia chuo, ishues za video shooting, directing ziko damuni, ola mpaka now sijaelewa nishike lipi niache lipi, niko na mawazo mengi, na nawaza kufika mbali kiuchumi age 25
 
Naona huu UZI umeniandikia mimi Kiongozi..Barikiwa..ngoja nizidi kupiga GOTI,SUBIRA + kutengeneza network sahihi
 
Nlisoma Sana bible Na kusali sana
 
.
 
Wakati huo Utapewa ushauri tofautitofauti,
Mwisho kabisa final say utakuwa wewe mwenyewe tu,
Kikubwa uwe na subira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…