Nimembebesha mimba ndo inayompa wenge mpaka anakutafuta!Master ulie mdanganya uyo mdada mbona penzi lenu limefifia mapema ivyo nyodo zote alizokuwa nazo mbona hana kisa nini nilivyo amua kumpuuza au?
Inasikitisha Sana mpenzi wa mtu unampigia ex wako unamwambia "moyo wangu Leo unaniuma Sana uko salama uko ulipo".
Hivi hana watu wengine wa kumufanya moyo wake uumie zaidi yangu?
Wanawake "if you realize how hard people used to heal and regain their peace of mind you should respect boundaries"
Nimemaliza
😁Mleta mada kwa sasa
View attachment 3143671
Ila bado una mpenda, si ndiyo?Haheshimu mipaka
tatizo iloHatukulani kuachana sio vita