Shida inakuja unapokua na safari zako,ratiba fulani na inakubidi kuomba ruhusa kwa heshima kwa kidume fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafurahia UTWANA/UTUMWA mambo leo.. [emoji23][emoji23][emoji23]Kuajiriwa raha sana, unaamka asubuhi, bla bla nyingi mwisho wa mwezi unakomba chako, kujiajiri lazima uhenyeke.
Mkuu watu wengi munachanganya vitu...sikila aliye jiajiri ana malengo ya mbali wengine just kujipatia pesa za kula na zakawaida tu mtu huyo hadi anazeeka yupo vilevile.Sio lazima kuna wadau kibao toka miaka ya 2008 nawafahamu hadi leo ni machinga pale mchikichini.
OK kumbe unazungumzia kurelax tu na si kuingiza mkwanja mnene
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushajiuliza kwanini kipato chako bado kidogo licha ya kufanya kazi masaa mengi?Kiukweli ujanja nikuingiza pesa ndefu. Mimi binafsi nimejiajiri naninafanya kazi siku 7 katika wiki yaani wiki yote nipo kijiweni kwangu namasaa kwasiku nafanya kazi zaidi yamasaa 12 maana nafungua ofisi saa 2 asubuhi nafunga saa2 usiku ila kipato changu nikidogo hakiendani namda namasiku nayofanya kazi.
Tatizo lenu biashara mnazifanya biashara kimazoea sana ndyo maana haziendelei. Unakuta biashara ina miaka mitano ipo vile vile, badala ya kutumia faida kuboresha biashara nyie faida yote mnakula, baadaye mnaanza kulalamika biashara ngumu.Sio lazima kuna wadau kibao toka miaka ya 2008 nawafahamu hadi leo ni machinga pale mchikichini.
OK kumbe unazungumzia kurelax tu na si kuingiza mkwanja mnene
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao walioajiriwa na wanalipwa 1,000,000± ni wachache mno ukilinganisha na waliojiajiri na wanaopata 1,000,000± hapo bado kodi ambazo TRA wanachukua kabla fedha haijatua mikononi mwako. Na wengi (hapa nimesema wengi, siongelei waajiriwa wachache ambao kwa Serikalini wapo kwenye government parastatals) wanaopata hicho kiasi wapo jioni kwenye vibarua vyao hivyo
Kufanya kazi siku 5 kati ya 7 kwa wiki ni kudanganyana, kufanya kazi masaa 8 kati 24 kwa siku ni kujazana uongo. Ukweli ni kwamba walioajiriwa wanafanya kazi zaidi ya muda uliandikwa kwenye makaratasi.
Umeajiriwa unapata hiyo 1,000,000+ kwa mwezi at what expense, kujipendekeza, kudhalilishwa, kusimangwa n.k. Kuna vitu hatuwezi kuvi calculate financially lakini ni gharama kubwa, ikiwamo kukosa furaha
Nakubaliana na wewe cha msingi ni unaingiza kiasi gani, lakini kimoja ninachojua aliyejiajiri ana potential ya kutengeneza kuliko aliyeajiriwa, mlamba miguu wa mabwana wakubwa
Haya ya kudhalilishwa, kusimangwa, nk je yapo kwenye mkataba wa ajira? Nafikiri hata aliyejiajiri huenda yanaweza kumkuta kwa namna nyingi tu hapo tafuta point nyingineHao walioajiriwa na wanalipwa 1,000,000± ni wachache mno ukilinganisha na waliojiajiri na wanaopata 1,000,000± hapo bado kodi ambazo TRA wanachukua kabla fedha haijatua mikononi mwako. Na wengi (hapa nimesema wengi, siongelei waajiriwa wachache ambao kwa Serikalini wapo kwenye government parastatals) wanaopata hicho kiasi wapo jioni kwenye vibarua vyao hivyo
Kufanya kazi siku 5 kati ya 7 kwa wiki ni kudanganyana, kufanya kazi masaa 8 kati 24 kwa siku ni kujazana uongo. Ukweli ni kwamba walioajiriwa wanafanya kazi zaidi ya muda uliandikwa kwenye makaratasi.
Umeajiriwa unapata hiyo 1,000,000+ kwa mwezi at what expense, kujipendekeza, kudhalilishwa, kusimangwa n.k. Kuna vitu hatuwezi kuvi calculate financially lakini ni gharama kubwa, ikiwamo kukosa furaha
Nakubaliana na wewe cha msingi ni unaingiza kiasi gani, lakini kimoja ninachojua aliyejiajiri ana potential ya kutengeneza kuliko aliyeajiriwa, mlamba miguu wa mabwana wakubwa
I hate this deeply kwakweli, mi unafiki siuweziIli bosi akuone wa maana lazima ujichekeshe
Kumsifia bosi ujinga ujinga hata hata kama unaona anazingua
Upuuzi mtupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eeeh!
Waajiriwa wote ni wavivu simple!Swala la kuajiriwa nilishakataa,mimi ni mchapa kazi sana so siko tayari kuona natumia ubunifu na uchapa kazi wangu alafu nalipwa robo ya nguvu niliyoiweka,kikubwa wanakula mapimbi fulani huko,then mafao yangu wanitese kama sikufanya kazi..noo way...pia mimi naamua niwe wapi muda gani.
Maisha ni kuchagua,no offense kwa mlioajiriwa naimani kuna faida pia mnazipata,binafsi nilpima hasara tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekimbia na wako vizuri kinoma!Afu noma inakuja mko sehemu mnapiga story na washkaji wao wanaongelea mishe/biz zao halafu we umekomalia tu kusema boss wangu hivi boss wangu vile daah noma sana,kuna muda unaweza kuhisi mpk mawazo yako kwny group yanachukuliwa poa hahah.
Ndio maana wengine walikimbia huko kitambooooooo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali nijichekeshe kwa mteja wangu coz hiyo ni biashara yangu! Na faida naimiliki on handHata wewe unaweza kujichekesha kwa mteja wako kama anatoaga mpunga mrefu ili pia asiende kwingine, hili naliona sana kwa wafanyabiashara.
Afadhali nijichekeshe kwa mteja wangu coz hiyo ni biashara yangu! Na faida naimiliki on hand
Kuliko kujichekesha kwa boss eti kumfurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua hivyo 80% ya wafanyakazi wasingekua wanahangaika na Salary Advance kila mwezi.Hata waajiriwa wanaojua kujipendekeza na kujichekesha kama wewe ndo wanaongoza kwa safari za kikazi zenye posho nene, semina zenye mpunga na kupanda vyeo haraka,
Pia hamna mtu anakaa kibwegebwege kama zamani siku hizi, watu ni waajiriwa lakini wanamiliki biashara kama uliyonayo ww.
Ingekua hivyo 80% ya wafanyakazi wasingekua wanahangaika na Salary Advance kila mwezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitengeneza mfumo thabiti, wakati mkwanja unaendelea kuingia, kwanini usi relux
Kama tangia unaanza ujasiriamali unaamka saa 10 alfajiri na kulala saa sita usiku mpaka unastaafu ujasiriamali ratiba yako ni hiyo hiyo, unapaswa kujichunguza na ikibidi upimwe mkojo
Sent using Jamii Forums mobile app