Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Yaaan nikigonga thirty niwe nimeshachomoka humo utumwani, so bado bado mkuuDaah huu ni ukweli mchungu mkuu.
Unajipa muda gani/miaka mingapi uwe umetoka huku utumwani mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, ila mi nawaona walioiba hiki kipindi cha stone wamefungwa wengine kesi zinaendelea!Hata waajiriwa wanaojua kujipendekeza na kujichekesha kama wewe ndo wanaongoza kwa safari za kikazi zenye posho nene, semina zenye mpunga na kupanda vyeo haraka,
Pia hamna mtu anakaa kibwegebwege kama zamani siku hizi, watu ni waajiriwa lakini wanamiliki biashara kama uliyonayo ww.
Tena hiyo umenikumbusha[emoji16][emoji16][emoji1787]...nilidhani ni ofisini kwetu tu!Ingekua hivyo 80% ya wafanyakazi wasingekua wanahangaika na Salary Advance kila mwezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida inakuja unapokua na safari zako,ratiba fulani na inakubidi kuomba ruhusa kwa heshima kwa kidume fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ya kudhalilishwa, kusimangwa, nk je yapo kwenye mkataba wa ajira? Nafikiri hata aliyejiajiri huenda yanaweza kumkuta kwa namna nyingi tu hapo tafuta point nyingine
Hata waajiriwa wanaojua kujipendekeza na kujichekesha kama wewe ndo wanaongoza kwa safari za kikazi zenye posho nene, semina zenye mpunga na kupanda vyeo haraka,
Pia hamna mtu anakaa kibwegebwege kama zamani siku hizi, watu ni waajiriwa lakini wanamiliki biashara kama uliyonayo ww.
Ingekua ujasiriamali rahisi kiasi hicho kila mtu angekua bilionea.
Kikubwa tufanye tu tunayoyaweza kila mtu hawezi kujiajiri,wapo pia walioajiriwa pia wamejiajiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Technolojia inakua kwa kasi sana mkuu, siku hizi ni rahisi sana kumaster biashara kiganjani mwako, wenzetu walioendelea biashara zao zinafanyika bila wao kuwepo na wanamake profit vilevile,Kujipendekeza na kujichekesha ili upate fursa kazini ni kuzalilisha utu wako, bora ukose safari lakini uwe free, uwe na peace of mind
Kubali pia kugawana faida na huyo uliyemwachia akuangalizie biashara yako wakati wewe umeenda kusaka per diem
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanx mkuu[emoji120][emoji120]Nimepata maneno mawili "natafuta mtaji" be focused you will live your dream.
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU,
Asikudanganye mtu, eti mtaji hata laki utatoboa[emoji134]...huu ni uongo,MKUU,
NAWEZA KUKUAMINI KWA JINSI ULIVYO NA NIA.
MTAJI WA KUANZIA KIASI GANI LABDA MKUU?
Sent using Jamii Forums mobile app
Technolojia inakua kwa kasi sana mkuu, siku hizi ni rahisi sana kumaster biashara kiganjani mwako, wenzetu walioendelea biashara zao zinafanyika bila wao kuwepo na wanamake profit vilevile,
siku hizi ni rahisi kuwa na kazi nyingi na ukazimudu, unaweza ukawepo site kutoka asubuhi hadi jioni na bado utapigwa tu kama huna mifumo thabiti.
Asikudanganye mtu, eti mtaji hata laki utatoboa[emoji134]...huu ni uongo,
Pesa ya mtaji inahitajika nyingi tu
Nadhani umenisoma
Sent using Jamii Forums mobile app