Uliyeajiriwa na unaamini maisha bila ajira magumu sana, ungeishi kipindi cha ujima ungekuwa nani?

Uliyeajiriwa na unaamini maisha bila ajira magumu sana, ungeishi kipindi cha ujima ungekuwa nani?

Hata waajiriwa wanaojua kujipendekeza na kujichekesha kama wewe ndo wanaongoza kwa safari za kikazi zenye posho nene, semina zenye mpunga na kupanda vyeo haraka,

Pia hamna mtu anakaa kibwegebwege kama zamani siku hizi, watu ni waajiriwa lakini wanamiliki biashara kama uliyonayo ww.
Sawa mkuu, ila mi nawaona walioiba hiki kipindi cha stone wamefungwa wengine kesi zinaendelea!

Heko kwako kama una biashara na haukai kizembe[emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo hayapo kwenye mkataba na ukijifanya una mentality hiyo ya haki haki, maisha kwenye ajira ndio yatakuwa machungu zaidi au utafukuzwa kazi kabisa
Haya ya kudhalilishwa, kusimangwa, nk je yapo kwenye mkataba wa ajira? Nafikiri hata aliyejiajiri huenda yanaweza kumkuta kwa namna nyingi tu hapo tafuta point nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujipendekeza na kujichekesha ili upate fursa kazini ni kuzalilisha utu wako, bora ukose safari lakini uwe free, uwe na peace of mind

Kubali pia kugawana faida na huyo uliyemwachia akuangalizie biashara yako wakati wewe umeenda kusaka per diem
Hata waajiriwa wanaojua kujipendekeza na kujichekesha kama wewe ndo wanaongoza kwa safari za kikazi zenye posho nene, semina zenye mpunga na kupanda vyeo haraka,

Pia hamna mtu anakaa kibwegebwege kama zamani siku hizi, watu ni waajiriwa lakini wanamiliki biashara kama uliyonayo ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna aliyesema ujasiriamali ni rahisi, lakini usije uka quote hii comment ukasema nimesema ujasiriamali ni mgumu

Ujasiriamali ni kujitoa, kugangamala, kufanya, kutokusubiri, kuwajibika.

Mentality ya kukubali kuwa mbeba nyama ya mwindaji mahiri ni mentality ya uoga na kuchagua kuwa "salama" kwenye hakuna
Ingekua ujasiriamali rahisi kiasi hicho kila mtu angekua bilionea.
Kikubwa tufanye tu tunayoyaweza kila mtu hawezi kujiajiri,wapo pia walioajiriwa pia wamejiajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mc cane,

Yaan umeongea point hasa wanaofanya private wanafanya kazi sanaa,mshahara kiduchu,masimango yaan tabu tupuu
 
Mc cane,
Umesema mambo ya msingi sana mkuu.Na mimi natamani siku moja nikipata nafasi niandike bandiko linaloeleza chimbuko hasa la wazo la elimu ya darasani,ajira na madawa ya hospitalini.Tumeingizwa mkenge sana,na sisi bila kujua na kwa ujinga wetu tumedhani na kuamini kwamba hivi vitu ni real na indispensable. Not at all.

Kwa hili la ajira tunahitaji complete change of mindset.Tunapaswa kuona kwamba ajira ni aina fulani ya utumwa uliopambwa kwa majina mengi mazuri na ya kutukuka.
 
Kujipendekeza na kujichekesha ili upate fursa kazini ni kuzalilisha utu wako, bora ukose safari lakini uwe free, uwe na peace of mind

Kubali pia kugawana faida na huyo uliyemwachia akuangalizie biashara yako wakati wewe umeenda kusaka per diem

Sent using Jamii Forums mobile app
Technolojia inakua kwa kasi sana mkuu, siku hizi ni rahisi sana kumaster biashara kiganjani mwako, wenzetu walioendelea biashara zao zinafanyika bila wao kuwepo na wanamake profit vilevile,

siku hizi ni rahisi kuwa na kazi nyingi na ukazimudu, unaweza ukawepo site kutoka asubuhi hadi jioni na bado utapigwa tu kama huna mifumo thabiti.
 
Kabisa mkuu, baadhi ya watu bado wana mawazo ya karne ya 20
Technolojia inakua kwa kasi sana mkuu, siku hizi ni rahisi sana kumaster biashara kiganjani mwako, wenzetu walioendelea biashara zao zinafanyika bila wao kuwepo na wanamake profit vilevile,

siku hizi ni rahisi kuwa na kazi nyingi na ukazimudu, unaweza ukawepo site kutoka asubuhi hadi jioni na bado utapigwa tu kama huna mifumo thabiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa inategemeana na mambo mengi, ikiwemo na wazo lako la biashara ulilonalo

Kama unawaza biashara ya Cafe, ni tofauti kama una mawazo ya hardware au kufuata simu China

Wewe ndio unaweza kuji assess vizuri kama huo mtaji utapata au, mfano umeweka nia mwaka juzi ukiwa na 500,000/=, mwaka jana ukawa na 1,500,000/= na mwaka huu ukawa unafunga na mtaji wa 3,000,000/= hapo kuna mwanga wa kupata mtaji unaoutaka

Style yako ya kukusanya mtaji inakuwa determined na attitude yako, kama kuna progress kwenye ku make, means you are good to go
Asikudanganye mtu, eti mtaji hata laki utatoboa[emoji134]...huu ni uongo,

Pesa ya mtaji inahitajika nyingi tu

Nadhani umenisoma

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom