Uliyeajiriwa na unaamini maisha bila ajira magumu sana, ungeishi kipindi cha ujima ungekuwa nani?

October man,

Tuwekee mifano halisi ya watu waliojiajiri na kuweka malengo kisha wakarelax, zingatia nchi yetu hii sio habari za kina Jeff bla blah ulioambiwa tu na motivational speakers.... mnatuona wajinga sana au sio..!!
 
Tuwekee mifano ya Watanzania tafadhali, na kwamba wamerelax kwa kuwa wametimiza malengo.... huenda mimi siwajui hao uliotaja kwa kiasi cha kuwa mifano kwetu.

Kwani nilowataja wakina nani sio watanzania awo...then wewe ujui hoja nini elewa jinsi ya ku-trace mbishano wa hoja ulipotokea maana naona wewe unaleta ‘RELAX’ yako ambayo hakuna mtu yoyote duniani anafanya sio tunayoizungumzia sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Motivational speakers na vitabu vinawaharibu sana, kama lengo lako ni ku-trace mbishano endelea kushusha nondo mi nilidhani ni vitu halisia.... tuendelee kuwaponda watumwa.

Sikuwepo mwanzo wa mdahalo nilidakia kwenye post yako ulivyotaja kina Mama Alaska, Hadija Jabir, SirJeff na Bruno nikaja mbio nikijua naweza kuambulia kitu kumbe ni ubishani tu nauliza maswali nawe waniuliza.... matajiri nyie ni wasiri mno.
 
Ulicho Note ‘mbishano’ ila ‘mbishano wa hoja ujaona then unaingiliaje kati bila kujua hoja zimeanzia wapi...Mkuu sio najifanya najua ila nakwambia which to know before replying.

Vitabu/motivation vimekuja baada ya maisha ya mtu I mean motivation book vimekopi maisha ya mtu So why mtu anapoandika maisha halisi ya mtu useme kitabu kinanini sijui Je yameanza maisha au kitabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
October man,

Hizi zote porojo tu jikite kwenye hoja usihamishe magoli, mimi sijui kitu ila sioni shida kudandia post yako ambayo kwa heshima zote nimedakia kwa kuomba mifano halisi na uthibitisho.... ilikuwa rahisi tu kama ulinielewa lengo ni kupeana elimu na hii sio kwa mimi tu na hata wengine tunaokuamini sana.
 
Mkuu tatizo wewe mwenyewe huwelewi unahitaji nini mifano nimekuwekea bado unataka mifano mifano gani sasa unataka..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom