Uliyeajiriwa na unaamini maisha bila ajira magumu sana, ungeishi kipindi cha ujima ungekuwa nani?

Uliyeajiriwa na unaamini maisha bila ajira magumu sana, ungeishi kipindi cha ujima ungekuwa nani?

Hellow, champion, Kuna biashara unaeza ukafanya bila gharama ya pango,tra,mfanyakazi,umeme,leseni kibali n.k, inategemea upo VIP na una elimu gan kuhusu business,na bado ukaingiza kipato cha kutosha, simaanishi "umachinga"mwisho kuajiliwa Ni utumwa kamwe kimaisha huezi toboa Sana Sana tu hela ya mboga,umejitaid Sana kanyumba na kagari Cha mkopo kamoja. Ukihitaji contact nami.0682292752.@Mc cane,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diana Spencer,
Unfortunately ili uendelee kuthaminiwa na kupendelewa lazima ujipendekeze na hili wanaliweza zaidi wanawake ila kwa wanaume linatesa nafsi..
Ukitaka kuwa free na jambo hili jitahidi uwe na kipato kingine elsewhere
 
Back
Top Bottom