Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Hizi simu za Market Place ni basi tu. Baada ya makubaliano akaniambia nikachukue huo mzigo kwa bei che ya 60k. Nimefika, ile kutest kila kitu kiko poa
Niko home nikasema wacha niibusti, nashangaa inafika 64% inaacha kupeleka chaji. Nikatumia hivyo hivyo, ile inafika 30%, chaji inashuka kwa kiwango cha 1 Charge / sec. Nikabaki nimeduwaa tu, ikifika 0% haizimi, inaanza kujibofya, inaingia kwenye message inaandika kisha inatuma, inaingia kwenye calls inachagua wa kumsumbua inapiga, inawash
a data, inaingia whatsapp inatuma picha za aibu, yaani mambo ni vururu, kisha inazima
Nimeipeleka kwa fundi, ile kufika fundi akasema wacha tubaini tatizo, kuifungua nakuta battery dogo la itel limepigwa super glue. Nimeishiwa nguvu, imebidi fundi anipoze 15k walau niambulie robo tatu hasara