Uliza chochote kuhusu kuhama Chuo kwa upande wa vyuo vikuu

Uliza chochote kuhusu kuhama Chuo kwa upande wa vyuo vikuu

Kuhama chuo inahitaji process zipi mkuu? Na inaweza kuchukua muda gani mpaka kukamilika?
Kuhama chuo unasubir dirisha la transfer unaweza kuangalia Prospectus ya TCU ya mwaka wa masomo 2022/2023 hapo utahama , hatua ya kwanza utaenda katika chuo unachotaka kuhamia ...huku ukiwa na Admission lettter ya chuo ulicho confirm that All . Hizo process hazichuki Muda Mrefu Ni kipindi Cha transfer kinapoanza.
 
Na vp kuhusu mkop ni njia zipi utatumiaa mpka mkop ukahama kutoka chuo ulichotok kwend chuo unachotak
Baada ya kuhamia chuo unachotaka ,utaenda kwa loan officer/ Afisa Mkopo then atatuma taarifa zako Helsb na mkopo wako utahama ndani ya siku 30 tu .
 
Na vp kuhusu mkop ni njia zipi utatumiaa mpka mkop ukahama kutoka chuo ulichotok kwend chuo unachotak
Soma tarehe za transfer katika prospectus ya TCU maana yake utahama katika kipindi Cha dirisha la transfer na process haziwezi kuzidi wiki 2 kuzikamilisha baada ya hapo utahamisha mkopo wako kupitia kwa loan officer.
 
Inawezekana vizuri Sana Mkuu wengi wanafanya hivyo Jambo la kwanza unaenda katika chuo unachotaka kuhamia unaomba nafasi baada ya happy taarifa zako zitatumwa TCU
Nb ...kuhama chuo unabidi kusoma Prospectus ya mwaka wa masomo 2022/2023 ili uangalie dirisha la transfer litaanza lini?.
Naweza kuhama chuo kutoka St Joseph ya Dar kwenda Ifakara MD ni vigezo vipi nifuate?
 
Sabubu zipi zinamashiko linapokuja suala la kuhama chuo ili uruhusiwe vp unaanzia wap
Hatua ya kwanza unaenda chuo husika unaomba nafasi then taarifa zako zitatumwa TCU huku ukisubiri Feedback ya TCU lakini unakuwa unaendelea na masomo

Swala la kuhama chuo lipo ndani ya TCU katika prospectus ya mwaka wa masomo 2022/2023.
Ni jambo Rahisi Sana Mkuu.
 
Yaani unaenda tu kuomba nafasi? Hamna hata kuandika Barua barua, zipitishwe pitishwe hata chuo unachotoka?

So ni just kuomba nafasi unapotaka kuhamia? Na inakuwa imeisha?
 
Yaani unaenda tu kuomba nafasi? Hamna hata kuandika Barua barua, zipitishwe pitishwe hata chuo unachotoka?

So ni just kuomba nafasi unapotaka kuhamia? Na inakuwa imeisha?
Unaanza unaconfirm chuo Cha kwanza then unachukua Admission lettter
Hiyo Admission lettter ndo unawepelekea chuo husika . Unaandika barua ya mkono then wao wanakuhamisha Ni Rahisi Sana mkuu
Muda wa kuhama chuo umewekwa na T,C,U so unaweza kuangalia
Katika prospectus yao ya mwaka 2022/2023
 
Back
Top Bottom