Uliza chochote kuhusu kuhama Chuo kwa upande wa vyuo vikuu

Uliza chochote kuhusu kuhama Chuo kwa upande wa vyuo vikuu

MTU akitaka kuhama kozi chuo ni hichohicho afanyaje
Transfer zitaanza tarh 31/10/2022 hivyo hapo chuoni kwenu Kuanzia tareh hizo kutakuepo issue ya transfer kwa wanafunzi wanao hama chuo na course ndani ya chuo.
Vipi naweza kufanya transfer kutoka private kwenda government? Na pia vipi kuhusu kuhama kozi pia with respect to mkopo
Mkuu ikifika trh 31 nenda katika chuo unachotaka kuhamia ukiwa na matokeo yako ya Chuo unachotoka pia kuhusu Mkopo muone loan officer wa chuo unachoenda atakuhamishia mkopo wako inachukuaga only one month
Na kwa sasa hivi Huduma ziko high advanced so inaweza isifike mwezi 1 mkuu .
 

Attachments

  • IMG_20221005_161012_621.jpg
    IMG_20221005_161012_621.jpg
    7.6 KB · Views: 50
Kuhama chuo ni rahisi kama hujasajiliwa chuo husika
 
P
Wanafunzi naomba muulize chochote kuhusu kuhama Chuo /vyuo vikuu .

Pia ninaswali sasa vyuoni watu wanaitwa kujisajili wakati tuja pata mkopo sasa apo inakuje nainatakiwa kulipa ela ya tution fie kabraya usajili kwaionisubili mkopo utoke ndonika jisajili au nijisajili ndo nisubili mkopo
 
Mkuu naomba msaada kuhusu transfer ya mkopo kutoka chuo ambacho nimeama kuja chuo nilipo
 
Kwa mfano ulichaguliwa chuo Fulani na mkopo ukapewa lakin ukaahirisha masomo,ukitaka kufanya transfer inawezekana hapo?
 
Mimi nauliza utaratibu wa kuhama kwa vyuo vya kati,mfano mwanafanzi anasoma pharmacy KAM college anatakia kuhamia Muhimbili college,utaratibu ni kama wa vyuo vikuu au kuna tofauti
 
Unaruhusiwa kuomba kozi yoyote mkuu ambayo nafasi zitaonekana zipo .
Kwa mfano mwanafunzi aliyesoma mwaka mzima chuo Fulani, na akaamua kuhama chuo na KOZI kwa maana kule anakoenda anaanza first year, inawezekana?
 
Back
Top Bottom