DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
- Thread starter
-
- #21
Unaruhusiwa kuomba kozi yoyote mkuu ambayo nafasi zitaonekana zipo .Na unaweza unapohama chuo ukaenda kuomba kozi nyingine kwenye chuo unachoenda au lazima uende kusoma kozi ille ile
Transfer zitaanza tarh 31/10/2022 hivyo hapo chuoni kwenu Kuanzia tareh hizo kutakuepo issue ya transfer kwa wanafunzi wanao hama chuo na course ndani ya chuo.MTU akitaka kuhama kozi chuo ni hichohicho afanyaje
Mkuu ikifika trh 31 nenda katika chuo unachotaka kuhamia ukiwa na matokeo yako ya Chuo unachotoka pia kuhusu Mkopo muone loan officer wa chuo unachoenda atakuhamishia mkopo wako inachukuaga only one monthVipi naweza kufanya transfer kutoka private kwenda government? Na pia vipi kuhusu kuhama kozi pia with respect to mkopo
Shukuran san broUnaruhusiwa kuomba kozi yoyote mkuu ambayo nafasi zitaonekana zipo .
Nahitaji Ku unconfirm chuo then ni confirm kingine, madhara yake ni yepi?Wanafunzi naomba muulize chochote kuhusu kuhama Chuo /vyuo vikuu .
Wanafunzi naomba muulize chochote kuhusu kuhama Chuo /vyuo vikuu .
Kwa mfano mwanafunzi aliyesoma mwaka mzima chuo Fulani, na akaamua kuhama chuo na KOZI kwa maana kule anakoenda anaanza first year, inawezekana?Unaruhusiwa kuomba kozi yoyote mkuu ambayo nafasi zitaonekana zipo .