Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Kozi za sheria zote hazina descriptions za fee+cordinators
Fee kwa Open university hailipwi kwa mwaka, inalipwa kwa unit.
Certificate na Diploma- unit Moja ni 40,000
Bachelor- unit Moja 60,000
Masters- unit Moja 180,000

Inategemea
umesajili Kozi ngapi kuzisoma kwa mwaka husika wa masomo.
Kusajili Kozi inategemea na uwezo wako wa kulipia na kuzisoma.
 
Hivi kwa MTU mwenye vyeti vya nje hapo anaapply vipi maana nimeelekezwa inahitajika AVN,ambayo Kama unaingiza details zako kwa vyeti vya nje unakuta havipo kwenye database...kwa hapo mnasaidiaje
 
Hivi kwa MTU mwenye vyeti vya nje hapo anaapply vipi maana nimeelekezwa inahitajika AVN,ambayo Kama unaingiza details zako kwa vyeti vya nje unakuta havipo kwenye database...kwa hapo mnasaidiaje
Peleka kwanza vyeti vyako NACTE ili vikawe verified kwanza then omba
 
Sa
Inawezekana chief, na ndio watu wanavyofanya
samahani naomba kuuliza tena hivi mtu anaweza kuajirika kama nta level 6 wa diploma kama akitokea nta level 5 akaishia foundation certificate yaan namaanisha nta level 6= nta level 5 +foundation? Mifumo hii inakaaje hapo wadau karibu
 
Foundation ni NTA level 6 inakupa sifa ya kuendelea kusoma degree.
 
Nilitaka kuapply chuo fulani, nikaanza kujisajili sasa nikapata changamoto siku 4 nikashindwa kulipa application fee

Je , itakuwaje ?
Siwezi apply tena ? Hata chuo kingine ?
 
Mna PhD ya Mathematics?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…