dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
- Thread starter
- #341
Unaweza kuombaNataka kutumia cheti cha Diploma ambapo katika diploma hii nimesoma mathematics, biology na chemistry
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuombaNataka kutumia cheti cha Diploma ambapo katika diploma hii nimesoma mathematics, biology na chemistry
Fee kwa Open university hailipwi kwa mwaka, inalipwa kwa unit.Kozi za sheria zote hazina descriptions za fee+cordinators
Njoo pmNdio wanapokelewa
Inawezekana chief, na ndio watu wanavyofanyaIkiwa mtu amesoma Diploma ya clinical medicine na hakufanikiwa kupata gpa ya 3 kama sifa ya kusoma shahada, je anaweza kusoma foundation program hapo OUT ili kupata siga ya kudahiliwa?
Peleka kwanza vyeti vyako NACTE ili vikawe verified kwanza then ombaHivi kwa MTU mwenye vyeti vya nje hapo anaapply vipi maana nimeelekezwa inahitajika AVN,ambayo Kama unaingiza details zako kwa vyeti vya nje unakuta havipo kwenye database...kwa hapo mnasaidiaje
samahani naomba kuuliza tena hivi mtu anaweza kuajirika kama nta level 6 wa diploma kama akitokea nta level 5 akaishia foundation certificate yaan namaanisha nta level 6= nta level 5 +foundation? Mifumo hii inakaaje hapo wadau karibuInawezekana chief, na ndio watu wanavyofanya
NdioFoundation Program inayotolewa na OUT naweza kuitumia chuo chochote Tanzania kujiunga na Bacherol?
Unaweza kutumia matokeo hayo yako vizuriNataka kutumia cheti cha form 6(matokeo ni( B,BC,)
Ipo by thesisHivi OUT wanatoa Masters in Mathematics?
najaribu kuangalia kwenye website yao lakini siioni kama zamani.
dindilichuma
Foundation ni NTA level 6 inakupa sifa ya kuendelea kusoma degree.Sa
samahani naomba kuuliza tena hivi mtu anaweza kuajirika kama nta level 6 wa diploma kama akitokea nta level 5 akaishia foundation certificate yaan namaanisha nta level 6= nta level 5 +foundation? Mifumo hii inakaaje hapo wadau karibu
Nataka nisome foundation ada ni sh ngapi na utaratibu wa kusoma ukoje na ni kwa muda gani. Pia ninaweza kulipa kidogo kidogo hio ada?Foundation ni NTA level 6 inakupa sifa ya kuendelea kusoma degree.
Mkuu kwa faida ya wengi naomba utupatie pass marks za foundation course.Foundation ni NTA level 6 inakupa sifa ya kuendelea kusoma degree.
Mna PhD ya Mathematics?Udahili umeanza, Chuo Kikuu Huria Tanzania na vyuo vingine hapa nchini.
Tuna chuo kimoja hapa nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla kinachotoa elimu wazi na Masafa(Open and distance learning)
Serikali ilianzisha chuo hiki kwa sheria ya bunge namba 17 ya mwaka 1992. Hii ilikua kuwapa fursa wafanyakazi na watu wenye majukumu yanayowafanya washindwe kwenda conventional university, hivyo kujikuta mahitaji yao ya kujiendeleza kielimu yakishindwa kufikiwa.
Kwa mwaka huu wa masomo udahili utakua ni bure.
Ingia tovuti ya chuo www.out.ac.tz na ufanye online application. Unahitaji kuwa na soft copy ya vyeti na picha(passport size moja).
Kwa tuliosoma na kufanikiwa tujitahidi wenzetu pia ambao wanauhitaji, kuwatangazia waweze kuitumia fursa hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisoma hapo Open LLB itakubalika huko duniani au magumashi?Hali ukimaanisha nini kiongozi