Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Unataka kusoma chuo gani hiyo kozi baada ya kumaliza Foundation

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
O. U. T nataman nipate nafac ya kusoma hpo ila ni vile course yangu Kwa hpo haipo [emoji9]
 
Ada ya Masters of Business Administration (MBA) ni kiasi gani na ya Masters of Business Administration in Project Planning ni kiasi gani?
 
OFP ukifaulu mchepuo wa Biashara unaweza kuomba kusoma LLB? na

Je nikiwa na Diploma ya Business Administration naweza kuomba kusoma LLB
 
OFP ukifaulu mchepuo wa Biashara unaweza kuomba kusoma LLB? na

Je nikiwa na Diploma ya Business Administration naweza kuomba kusoma LLB
Unaposoma OFP unachagua kozi kulingana na utakachohitaji kusoma Bachelor.
Mtu wa Foundation Arts Anafit kusoma LLB wa Business Anafit kusoma kozi za Business .

Mwenye Diploma ya Business Adminstration anaweza kusoma LLB.
 
Ada ya Masters of Business Administration (MBA) ni kiasi gani na ya Masters of Business Administration in Project Planning ni kiasi gani?
MBA ina specialization mbalimbali ambazo tuition fee jumla ni 4,320,000 mpaka muhusika anamaliza.
 
@ndindilichuma ivi mtu mwenye ADVANCED Diploma ya Procurement toka chuo kinachotambulika na serikali mfano (TIA, IAA, IFM) kwa GPA ya PASS anaweza kuapply kusoma sheria (LLB) (wanasema watu wenye kada za DEGREE/ADVANCED DIPLOMA) wanaweza kuaplly kutokana na merits zao hiyo imekaaje mheshimiwa naomba ufafanuzi
 
Am na
 
Ada kianzio Bei gani na wanaingia mwezi gani kwa masters programs ya project monitoring and evaluation
 
Post graduate diploma ya technical education nayo usomaji wake ni kwa njia ODL?
 
Nina jamaa yangu anataka kusoma masters lakini GPA yake haijafika 3 yeye alisoma BED. je inawezekana?
 
Nina jamaa yangu anataka kusoma masters lakini GPA yake haijafika 3 yeye alisoma BED. je inawezekana?

Gpa kama una 2.7 kwend juu unasoma masters kwa vyuo kama udom , iringa tumain, nk ila kama una gpa chini ya hapo huwez kupata vyuo vingi vinachukua lower second class gpa
 
Usijibu bila kuwa na references au kwa kutumia uzoefu... tafuta prospectors ya OUT 2023 and then soma entry qualifications za kujoin LLB...

1.Direct entry qualifications for form six students is two principle passes cut points not less than 4 points

Other equivalent qualifications:
1.OFP. (Foundation course with not less than 3.0 GPA )
2.Diploma not less than 3.0 GPA (This does not include for those who took science programs)
3.Degree/Advanced Diploma regarding to their merits
 
Mtu aliyesoma PCB anaweza Kusoma B.A Economics? Ukiangalia vigezo vya kusoma Kwenye TCU GBook ni tofauti na Kwenye tovuti yenu ya Open. Kipi ni kipi.
 
Nina jamaa yangu anataka kusoma masters lakini GPA yake haijafika 3 yeye alisoma BED. je inawezekana?
Mwongozo wa TCU unaonyesha anaweza kusoma Masters aliye na sifa Kati ya zifuatazo
1. Amemaliza Bachelor na GPA isiyopunhua 2.7
2. Amemaliza Advanced Diploma na GPA isiyopungua 3.5
3. Amemaliza postgraduate Diploma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…