dindilichuma
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 1,736
- 2,699
- Thread starter
- #421
Hizo kozi zote zipo mkuuJe Arusha mpo eneo lipi? na kozi ya records na Human resouce mnatoa?
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo kozi zote zipo mkuuJe Arusha mpo eneo lipi? na kozi ya records na Human resouce mnatoa?
Unataka kusoma chuo gani hiyo kozi baada ya kumaliza FoundationMimi ni intake ya April mwaka Huu nimejiunga na foundation prgm ya Masomo ya PCB nataka Kusoma degree ya COMPUTER SCIENCE ila sijajua kma nitaweza soma degree iyo kwasababu Nina "F" ya math o level na Bam advance ila now NASOMA , je naweza kupata iyo course ya computer science kwa level ya degree Maana nafanya Mtihani ya foundation y PCB sept Mwaka huu
So naweza kupata iyo Course ya CS level ya degree
Nataka uniambia chuo chochote Niko teyari kusoma iyo computer science ila nataka uniambia chuo Gani nitapata kwa urahisi nikiapply na foundationUnataka kusoma chuo gani hiyo kozi baada ya kumaliza Foundation
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Course ganO. U. T nataman nipate nafac ya kusoma hpo ila ni vile course yangu Kwa hpo haipo [emoji9]
Unaposoma OFP unachagua kozi kulingana na utakachohitaji kusoma Bachelor.OFP ukifaulu mchepuo wa Biashara unaweza kuomba kusoma LLB? na
Je nikiwa na Diploma ya Business Administration naweza kuomba kusoma LLB
MBA ina specialization mbalimbali ambazo tuition fee jumla ni 4,320,000 mpaka muhusika anamaliza.Ada ya Masters of Business Administration (MBA) ni kiasi gani na ya Masters of Business Administration in Project Planning ni kiasi gani?
Am na@ndindilichuma ivi mtu mwenye ADVANCED Diploma ya Procurement toka chuo kinachotambulika na serikali mfano (TIA, IAA, IFM) kwa GPA ya PASS anaweza kuapply kusoma sheria (LLB) (wanasema watu wenye kada za DEGREE/ADVANCED DIPLOMA) wanaweza kuaplly kutokana na merits zao hiyo imekaaje mheshimiwa naomba ufafanuzi
Nina jamaa yangu anataka kusoma masters lakini GPA yake haijafika 3 yeye alisoma BED. je inawezekana?
Usijibu bila kuwa na references au kwa kutumia uzoefu... tafuta prospectors ya OUT 2023 and then soma entry qualifications za kujoin LLB...Am na
SawaGpa kama una 2.7 kwend juu unasoma masters kwa vyuo kama udom , iringa tumain, nk ila kama una gpa chini ya hapo huwez kupata vyuo vingi vinachukua lower second class gpa
Angalia guide ya TCU mkuu ndio usahihi.Mtu aliyesoma PCB anaweza Kusoma B.A Economics? Ukiangalia vigezo vya kusoma Kwenye TCU GBook ni tofauti na Kwenye tovuti yenu ya Open. Kipi ni kipi.
Mwongozo wa TCU unaonyesha anaweza kusoma Masters aliye na sifa Kati ya zifuatazoNina jamaa yangu anataka kusoma masters lakini GPA yake haijafika 3 yeye alisoma BED. je inawezekana?