Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

ODL inamaana online and distance learning
Siyo utofauti wa majina na maanisha uingiliano kimitaala na mipangilio ya course.....

maana niliwacheki OUT wakawa na malingo yaani mtu anaelezea kama vile kalazimishwa na ni ajira yake,

Yaani mwanaume anaringa, dadeki nikachukulia kama nilienda touring
 
Heee mbona mnahangaika sana kutafuta wanafunzi
Naomba kuuliza je inawezekana nimesoma chuo fulani mfano udom nikaishia mwaka wa pili nikahamia Open University na nikaendelea nilipoishia?
 
Naomba kuuliza je inawezekana nimesoma chuo fulani mfano udom nikaishia mwaka wa pili nikahamia Open University na nikaendelea nilipoishia?
Ndio unaendelea ulipoishia kwa kufuata hatua zote za kuhamisha kozi zako yaani credits transfer.
 
Bac in food nutrition and dietetics na Bsc environmental ipi ukisoma uka recategorize utakuwa umeupiga mwingi?
 
WALE WANAFUNZI WA LIFE SCIENCE KUANZIA FOUNDATION COURSE WANAOSOMA BIOLOGY, WANAOSOMA DEGREE ZA NUTRITION, ZOOLOGY,BOTANY COURSES NIONE PM KAMA KUNA COURSES ZINAKUSUMBUA TUTAYAJENGA

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Habari za Leo mkuu,naomba kuuliza Kwa tulifanya mitihani mwezi wa pili mwaka huu Kwa makadirio matokeo yetu yanaweza kutoka lini ? maana hatuelewi kabisa
 
NAOMBA OUT WAONGEZE KOZI ZA MASTER KWA UPANDE WA ICT,master of cyber security,block c
 
Mkuu samahani sana nimejisajili ili nichukue bachelor lakin sijapata username wala password kila nikimaliza kipengele cha awali nikibonyeza next naambiwa niingize username na password wakati huo sijatumiwa nimejaribu kuangalia kwenye email lakin hakuna naomba msaada tafadhali kwa anaejua ili niweze kusonga mbele
 
+255 755 858 265wasiliana moja kwa moja na mtoa huduma. OUT
 
pole jaribu kuingia katika Website ya OUT - admission panel na uwapigie simu kwa usaidizi zaidi
 
Mkuu samahani sana nimejisajili ili nichukue bachelor lakin sijapata username wala password kila nikimaliza kipengele cha awali nikibonyeza next naambiwa niingize username na password wakati huo sijatumiwa nimejaribu kuangalia kwenye email lakin hakuna naomba msaada tafadhali kwa anaejua ili niweze kusonga mbele
pole jaribu kuingia katika Website ya OUT - admission panel na uwapigie simu kwa usaidizi zaidi
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…