Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

Kusoma library& information management gharama zake ni kiasi Gani?
 
Naomba kujua shahada ya kwanza sheria ni shiling ngapi kwa mwaka, inasomwa kwa muda gani, kila mwaka unasoma kozi ngapi na ni zipi
 
Sheria unasoma minimum three academic years.
Gharama ni 1,160,000 kama utasoma kozi kama zilivyo Kwa miaka mitatu.
 
Kuna kozi gani mpya mmeongeza mwaka huu za postgraduate?

#MaendeleoHayanaChama
 
Check kwenye list niliyoattach hapo chini
IMG-20220124-WA0017.jpg
 
Attachments

  • IMG-20220124-WA0017.jpg
    IMG-20220124-WA0017.jpg
    159.5 KB · Views: 95
Ikiwa mtu amesoma Diploma ya clinical medicine na hakufanikiwa kupata gpa ya 3 kama sifa ya kusoma shahada, je anaweza kusoma foundation program hapo OUT ili kupata siga ya kudahiliwa?
 
Naomba kujua gharama za kusoma Bachelor of science with education ( Bsc.ed). Pia utaratibu wa kufanya practical yaani kila kituo kina maabara au mpaka makao huko dar! Mwisho naomba kozi za chemistry na biology! Asante.
 
Master of Education in quality management Ada ni shilingi ngapi na course inachukua muda gani
 
Back
Top Bottom