Uliza Chochote Kuhusu Magari ya Mitsubishis Fuso Canter Pamoja na Spare zake

Digxam-TZ

Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
57
Reaction score
90
Kama unatafuta Mitsubishi fuso au Canter gari madogo , pamoja na Spare zake kutoka Japana wasiliana nasi kupitiana namba hii chini pia Spare za mtumba zenye ubora zipo aina ya Fuso na Canter utapata .

Tuambie aina ya Spare unayotaka au Gari gani unataka nikupe bei serous buyers wasiliana nasi.



Tunapatikana
Ilala Dar ES SALAAM Tanzania
Johannesburg Africa Kusini
Dubai
Japan
Mawasilino piga +255712 708245/+818020717421


 
Kama unatafuta Mitsubishi fuso au Center gari , pamoja na Spare zake kutoka Japana wasiliana nasi kupitiana namba hii chini pia Spare za mtumba zenye ubora zipo aina ya Fuso na Center utapata...
Mkuu Canter zipo jumla ngapi? ziko wapi Japan au Dar?
 
Pia naomba bei ya Cabin ya Fuso
 
Mkuu Digxamtrades ipi Canter yenye Engine ya 33, 34 na 35 ipi nzuri?
Engine zote ni mzuri inategemea na matumizi yako
  1. Turb 4D34.. Engine kubwa
  2. 4D35 kubwa kidogo ..
  3. 4D33 hii ni ndogo ukilinganisha na hizo nyingine,
  4. 4D35 hii nikubwa sana kuliko zote kama una plan ya kutengeza body kubwa kwajili kusafirisha mizigo mizito kwaumbali mrefu sehemu zenye milima mikali sana hii engine inafaa sana 35.
 
Asante. Sasa nipatie kama hii lakini lakini iliyotumika yenye 4D33. Isizidi 27M.

 
Injini 4d33 inapatikana kwa bei gani? Nataka kuvua 4d35 niweke hiyo...gari ilinock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…