Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

1.Vipi fursa za huko kibiashara kama unataka anza kidogo let say mil 10?

2.Vipi wanawake wa huko ni waaminifu?kuna wanawake wa ngara naona wazuri ni waangaza kama sikosei? nataka nitembelee huko
 
Kwambi mikoa mingine ipo tajir kwasababu miundo mbinu ipo poa
 
Moja ujalijibu.
 
Ni wilaya gani inaongoza kwa kuwa na Watu mashuhuri wengi ikijumuisha na wasomi wabobevu excluding PhD za heshima!
 
Ni kweli wadada wa mkoa huo ni wasikivu kuliko wasukuma?
 
Ni wilaya gani inaongoza kwa kuwa na Watu mashuhuri wengi ikijumuisha na wasomi wabobevu excluding PhD za heshima!
Karagwe imepata kutoa mtu mwenye cheo cha Sir
Cheo cha Sir anatoa Malkia au Mfalme wa uingereza
Sir George Kuhama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…