Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kageera senene wanapaatikanaa?Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
Nitajibu kila swali leo
- Uchumi
- Wakazi na Makazi
- Historia
- Makabila
- Fursa za Uchumi
- Hali ya hewa
- Mahusiano n.k
Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
- Bukoba manispaa
- Karagwe
- Ngara
- Biharamlo
- Muleba
- Kyerwa
- Misenyi
- Bukoba vijijini