Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Uliza chochote kuhusu mkoa wa Kagera, nitajibu kila swali

Fanya yafuatayo ili mkeo atoe maji

Kwanza zingatia lishe
Mlishe mkeo vyakula laini sio vikavu na vigumu
Mwanamke hapaswi kula ugali wa mtama, ulezi na ugali Kwa ujumla

Mpe ndizi za kupika, maharage, nyanya chungu, nyama, samaki na maziwa n.k

Mwanamke asifanye kazi ngumu
Kulisha wanyama, kulima sana, kupasua Kuni
Hapo hatapata maji
Mpe furaha, mwanamke akiwa na furaha na akili yake imetulia atamwaga maji kama Bomba ila akiwa na stress umemwachia elfu 7 af unataka usiku atoe maji haiwezekani
siyo kweli,mpare wa DSM aliyemwaga maji ni single maza tu na hana kazi.
 
Kwa nini wahaya wengi ambao ni waislam wengi wanatokea mjini pia ni waislam ambao wana itikadi sana na dini yaani swala 5 na kufuga ndevu. Je Mwarabu alifika hapo Bukoba mjini?
Wahaya ni Watu "kuongeza chumvi" kwa kila kitu iwe ni dini(sio waislam hata wakatoliki na dini nyingine) hata kwenye vitu vingine wahaya Wana kimbelembele na kiherehere cha ziada, watu wa kutafuta kutambuliwa kwa kila kitu hata ikibidi KU-FAKE!
 
Wahaya no Watu "kuongeza chumvi" kwa kila kitu iwe ni dini(sio waislam hata wakatoliki na dini nyingine) hata kwenye vitu vingine wahaya Wana kimbelembele cha ziara, Watu WA kutafuta kutambuliwa kwa kila kitu hata ikibidi KU-FAKE!
Mkoa wa Kagera hauna kabila wahaya pekee
Kuna makabila mengine
Kama una mtazamo tofauti na wahaya
Basi rejea makabila mengine mengi yanayopatikana mkoa wa Kagera
 
Hili wengi hawalielewi, Utasikia wilaya y Mbeya mjin.
1731693892364.png
 
Kila sehemu duniani huwa kuna Imani ya aina flan ya uchawi, uchawi wa Kagera ni kuwa maiti ikizikwa wachawi huja usiku na kuifukua kimiujiza (bila kuondoa udongo au jeneza) na kwenda kumla marehemu! Siku za kulinda ni kuhakikisha marehemu ameoza na hivyo hawezi kuliwa nyama. Kulinda kaburi kuna mambo mengine kama mazindiko NK, miaka ya 82 hadi 84 ulifika hatua wakawa wanamchoma maiti sindano za sumu ya wadudu kama Thiodan nk.

Pamoja na kulinda kaburi kuna wakati wenyeji hudai zoezi limeshindikana na maiti imechukuliwa hasa upepo na mvua vikitokea usiku na kaburi "kubonyea"
Jambo la kufurahisha katika Imani hiyo hakuna kaburi hata moja Kagera ambalo likifukuliwa sasa hivi utakosa mifupa ya marehemu....nilishuhudia makaburi mengi yanahamishwa wakati WA mradi flani WA Barbara na mifupa ilokuepo, Jambo jingine maiti zisizo na ndugu ambazo huzikwa na serikali wala haziibiwi pamoja na kulinda!
Nimeishi huko utotoni na kujifunza mengi!
Asante mkuu Nyamwi255
 
Hivi ni kweli waziba ndio wahaya wanaovutika kama Big G yaani wanajisikia sana?
 
Fanya yafuatayo ili mkeo atoe maji

Kwanza zingatia lishe
Mlishe mkeo vyakula laini sio vikavu na vigumu
Mwanamke hapaswi kula ugali wa mtama, ulezi na ugali Kwa ujumla

Mpe ndizi za kupika, maharage, nyanya chungu, nyama, samaki na maziwa n.k

Mwanamke asifanye kazi ngumu
Kulisha wanyama, kulima sana, kupasua Kuni
Hapo hatapata maji
Mpe furaha, mwanamke akiwa na furaha na akili yake imetulia atamwaga maji kama Bomba ila akiwa na stress umemwachia elfu 7 af unataka usiku atoe maji haiwezekani
Mleta mada umeamua kutoa dose kabisa 🤣🤣
 
Leo nitajibu swali lolote kuhusu mkoa wa Kagera, kama vile kuhusu:
  • Uchumi
  • Wakazi na Makazi
  • Historia
  • Makabila
  • Fursa za Uchumi
  • Hali ya hewa
  • Mahusiano n.k
Nitajibu kila swali leo

Mkoa wa Kagera una wilaya 8 ambazo ni:
  • Bukoba manispaa
  • Karagwe
  • Ngara
  • Biharamlo
  • Muleba
  • Kyerwa
  • Misenyi
  • Bukoba vijijini
Kageeera ipo waapii?
 
Back
Top Bottom