Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 393
Wapo hai?5. Nida ya mzazi mmojawapo wa muombaji, hapa ndio tatizo huwa linaanzia, ibakuaje kama mzazi hana nida?
Sasa wewe ni nani ni kishoka au afisa?PASSPORT NINI
Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake, ikifanya iwe chombo muhimu cha kuvuka mipaka na kuomba ulinzi wa kibalozi nje ya nchi.
Vigezo & Nyaraka Zinazohitajika:
1.Cheti cha Kuzaliwa: Cheti chako cha kuzaliwa halisi.
2.Cheti cha Mzazi mmoja wapo aidha baba au mama au kiapo cha kuzaliwa cha mzazi wako mmoja wapo
3.Kitambulisho cha Taifa (NIDA)
4.Picha:
5.(NIDA) ya mzazi mmoja wapo wa muombaji
6.Barua ya utambulisho
Ukihitaji elimu na upataji wa passport , Namba ya NIDA kwa haraka ni cheki PM
Gharama za Passport kwa mujibu wa Idara ya uhamiaji Tanzania ni Tsh 150,000/ utapewa control number ukalipe.
Muhuri wa mwanasheria gharama zake itategemea na makubaliano
Passport ya Tanzania inatolewa na Idara ya uhamiaji tu ,Fika office za uhamiaji Tanzania zipo kila Mkoa.
Universal lawMlolongo wa mavitambulisho chungu nzima yasiyo kuwa na faida 🚮
Ni Afisa kabisaSasa wewe ni nani ni kishoka au afisa?
Yupo hai ila sina stori nae/sijui alipo/ hatuna maelewanoWapo hai?
Sio tatizo ilo inawezekana kupata PassportYupo hai ila sina stori nae/sijui alipo/ hatuna maelewano
Hii imekaaje mkuu katika family moja hapa tz babu wazaa babu na bibi walitoka nje katika ile vita ya Burundi 1972 ,lakini wazazi walizaliwa hapa na now wana makazi yao na wakazaa watoto na miongoni mwa mtoto akaenda uhamiaji kuomba Passport akiwa na documents zake kamili lakini hakupewa passport zaidi ya kuambiwa yeye siyo Mtanzania.je hii imekaajePASSPORT NINI
Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake, ikifanya iwe chombo muhimu cha kuvuka mipaka na kuomba ulinzi wa kibalozi nje ya nchi.
Vigezo & Nyaraka Zinazohitajika:
1.Cheti cha Kuzaliwa: Cheti chako cha kuzaliwa halisi.
2.Cheti cha Mzazi mmoja wapo aidha baba au mama au kiapo cha kuzaliwa cha mzazi wako mmoja wapo
3.Kitambulisho cha Taifa (NIDA)
4.Picha:
5.(NIDA) ya mzazi mmoja wapo wa muombaji
6.Barua ya utambulisho
Ukihitaji elimu na upataji wa passport , Namba ya NIDA kwa haraka ni cheki PM
Gharama za Passport kwa mujibu wa Idara ya uhamiaji Tanzania ni Tsh 150,000/ utapewa control number ukalipe.
Muhuri wa mwanasheria gharama zake itategemea na makubaliano
Passport ya Tanzania inatolewa na Idara ya uhamiaji tu ,Fika office za uhamiaji Tanzania zipo kila Mkoa.
Nafanyaje kwa kesi kama yangu?Sio tatizo ilo inawezekana kupata Passport
HongeraNi Afisa kabisa
Nitafut mkuu njoo PmN
Nafanyaje kwa kesi kama yangu?
Hongera
Maliza hapa kwa faida yako na yangu na wengine wengiNitafut mkuu njoo Pm
Sio lazima kitambulisho cha NIDA namba tuNa vipi kuhusu nida? Ni lazima kiwepo kitambulisho? Au hata namba ya nida yaweza kufaa
Maliza hapa kwa faida yako na yangu na wengine wengi
Wasaidie, mtu anaipataje namba ya nidaSio lazima kitambulisho cha NIDA namba tu
Mkuu jibu hapaHii imekaaje mkuu katika family moja hapa tz babu wazaa babu na bibi walitoka nje katika ile vita ya Burundi 1972 ,lakini wazazi walizaliwa hapa na now wana makazi yao na wakazaa watoto na miongoni mwa mtoto akaenda uhamiaji kuomba Passport akiwa na documents zake kamili lakini hakupewa passport zaidi ya kuambiwa yeye siyo Mtanzania.je hii imekaaje
Nataka namba ya nida natakiwa nianzie wapi?PASSPORT NINI