Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
Who are you?PASSPORT NINI
Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake, ikifanya iwe chombo muhimu cha kuvuka mipaka na kuomba ulinzi wa kibalozi nje ya nchi.
Vigezo & Nyaraka Zinazohitajika:
1.Cheti cha Kuzaliwa: Cheti chako cha kuzaliwa halisi.
2.Cheti cha Mzazi mmoja wapo aidha baba au mama au kiapo cha kuzaliwa cha mzazi wako mmoja wapo
3.Kitambulisho cha Taifa (NIDA)
4.Picha:
5.(NIDA) ya mzazi mmoja wapo wa muombaji
6.Barua ya utambulisho
Ukihitaji elimu na upataji wa passport , Namba ya NIDA kwa haraka ni cheki PM
Gharama za Passport kwa mujibu wa Idara ya uhamiaji Tanzania ni Tsh 150,000/ utapewa control number ukalipe.
Muhuri wa mwanasheria gharama zake itategemea na makubaliano
Passport ya Tanzania inatolewa na Idara ya uhamiaji tu ,Fika office za uhamiaji Tanzania zipo kila Mkoa.
PASSPORT NINI

Week mbili tu boss apo ndo umechelewaInachukua muda gani kupata Paspoti kama umetimiza masharti yote?
Unaandika barua kwa NIDA na sababu zakoNinataka KUFUTA NIDA Yangu, naam KUIFUTA kabisa !. Nifanyeje ?
Hadi hapo huna vigezoPassport ya kidiplomasia naipataje mimi ambaye sio jaji wala mbunge? Vigezo ni vipi?
Namba NIDA haishi ila kitambulisho kinawezekanaMimi NIDA number yangu imeisha natakiwa kufanya Nini? Ili kurenew
AsanteWeek mbili tu boss apo ndo umechelewa
Sawa. Expiry date ya kitambulisho imeisha natakiwa kufanya Nini?Namba NIDA haishi ila kitambulisho kinawezekana
Nahitaji kubadilisha picha, sahihi na namba ya simu kwenye taarifa za NIDA. Nafuata taratibu zipi na gharama ni zipi?.Namba NIDA haishi ila kitambulisho kinawezekana