Uliza kitu chochote kuhusu mafundisho ya Buddha.

Uliza kitu chochote kuhusu mafundisho ya Buddha.

Buddha alikuwa mwanadamu wa kawaida.
Isipokuwa kuna kitu kinaitwa "transmigration", roho kuingia katika mwili mwingine.
Katika dini ya Kikristu Yesu alibatizwa katika mto Jordan halafu roho ikatua huu yake kama njiwa.
Mwili wa Yesu ulichukuliwa na toho ya Kristu.
Kwa hiyo Buddha alikuwa ana akili zaidi ya binadamu wa kawaida.
Pia Nabii Muhammad hakuwa binadamu wa kawaida.
Au Shakespeare alikuwa mkulima maskini,aliwezaje kuandika hadithi zake?
Na pia hapa tumemtaja Shakespeare, tukumbuke Shakespeare alikuwa msomi lakini alikuwa mtiifu kwa Serikali,kwa hiyo kuwa msomi siyo maana yake kuiponda Serikali.
 
Tunawakaribisha wote kuuliza chochote kuhusu Buddha
Qur'an inathibitisha kwamba Uislamu ni dini kwa watu wote, bila kujali kabila, rangi, au utaifa. Miongoni mwa aya zinazosisitiza jambo hili ni:

1. Surah Al-Anbiya (21:107):
"Nasi hatukukutuma (Ewe Muhammad) ila uwe ni Rehema kwa walimwengu wote."
Hii inaonyesha kwamba Uislamu si kwa kundi maalum tu bali ni ujumbe wa huruma kwa ulimwengu mzima.

2. Surah Saba (34:28):
"Nasi hatukukutuma ila kwa watu wote uwe mtoaji wa bishara na muonyaji, lakini watu wengi hawajui."
Hii inathibitisha kwamba Mtume Muhammad (SAW) alitumwa kwa wanadamu wote.

3. Surah Al-Hujurat (49:13):
"Enyi watu! Hakika tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke, na tumekufanyeni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule mwenye kumcha Mungu zaidi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye khabari."
Aya hii inasisitiza usawa wa watu wote mbele ya Allah, ambapo dini ya Uislamu inalenga kuwaunganisha wanadamu wote

TUONESHE KWAMBA BUDHA IMEKUJA KWA ULIMWENGU WOTE
 
Hivi majuzi watu walitaka kumteka mtu wakashindwa.
Yule mtu aliomba misaada lakini raia wote walimpita.
Wengine wanauliza,kwa nini hawa raia wamekuwa hawana huruma?
Lakini Buddha alifundisha kwamba ukiona mtu anaonewa,kama una nguvu,tumia nguvu kuzuia huo uovu.
Kama huna nguvu,basi zungumza,sema,"Hivyo mnavyofanya sio vizuri,mnamuonea huyu."
Kama unaona kwamba hata kuzungumza itakuwa hatari kwako,basi fikiri.
Fikiri,"Jambo wanalofanya wale siyo zuri,vile wanavyotaka kumteka yule babu,mimi hainipendezi".
Sasa,niambie,Ustadhi,hii haifanani kidogo na maneno alivyosema Mtume Muhammad?
Pia uelewe,wamisionari wa Kibuddha walikuwepo Mashariki ya Kati siku za Mtume.
 
Buddha alikuwa mwanadamu wa kawaida.
Isipokuwa kuna kitu kinaitwa "transmigration", roho kuingia katika mwili mwingine.
Katika dini ya Kikristu Yesu alibatizwa katika mto Jordan halafu roho ikatua huu yake kama njiwa.
Mwili wa Yesu ulichukuliwa na toho ya Kristu.
Kwa hiyo Buddha alikuwa ana akili zaidi ya binadamu wa kawaida.
Pia Nabii Muhammad hakuwa binadamu wa kawaida.
Au Shakespeare alikuwa mkulima maskini,aliwezaje kuandika hadithi zake?
Na pia hapa tumemtaja Shakespeare, tukumbuke Shakespeare alikuwa msomi lakini alikuwa mtiifu kwa Serikali,kwa hiyo kuwa msomi siyo maana yake kuiponda Serikali.
Sasa mbona hapa unatumia dini nyingine kumuongelea huyo budha, yeye hana maelezo ya kujitosheleza mpaka uhusie kina Mohammed na Yesu??

Nadhani maelezo ya yeye ni nani yangefaa zaidi kuliko hayo ambayo ni kama unajitetea vile.
 
Hivi kuna mtu mweusi/mwafrika typically anayeabudu ubudha kama ilivyo kwa uislam? Tunaona wachina na baadhi ya waasia wakiamini dini hiyo
 
Buddha alikuwa mwanadamu wa kawaida.
Isipokuwa kuna kitu kinaitwa "transmigration", roho kuingia katika mwili mwingine.
Katika dini ya Kikristu Yesu alibatizwa katika mto Jordan halafu roho ikatua huu yake kama njiwa.
Mwili wa Yesu ulichukuliwa na toho ya Kristu.
Kwa hiyo Buddha alikuwa ana akili zaidi ya binadamu wa kawaida.
Pia Nabii Muhammad hakuwa binadamu wa kawaida.
Au Shakespeare alikuwa mkulima maskini,aliwezaje kuandika hadithi zake?
Na pia hapa tumemtaja Shakespeare, tukumbuke Shakespeare alikuwa msomi lakini alikuwa mtiifu kwa Serikali,kwa hiyo kuwa msomi siyo maana yake kuiponda Serikali.
Sijakuelewa,Yesu,Shakespeare na Mohamed wanaingiaje hapa?
 
Back
Top Bottom