Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,227
Kutokana na maelezo yako hata mtu akikueleza hutaelewa kwani umeisha jipanga katika mtazamo fulani dhidi ya rwanda,hebu nikupe kidogo France ndio waliandaa genocide ya watutsi wakishirikiana na serikali ya habyarimana eti wakilinda kifaransa dhidi ya watusi wanao ongea kiingereza waliotokea uganda,hivi rwanda inataka kuwashitaki na france haitaki kuona ina aibishwa na kainchi kadogo ka afrika,rwanda ilikua imeanza kua na influence ndani ya congo kiasi kwamba ilikua ikiingia na kuwinda FDLR vibaraka wa wafaransa,sasa ndio france inatumia mwanya wa UN kufikia malengo yake.
Sidhani...hizi sababu haziwezi hata siku moja kujustify nchi kama ufaransa kuyafanya hayo unayoyasema...too minor issues.......Ishu ya msingi hapa ambayo inabidi tu uikubali ni kwamba M23 imetumiwa na PK kama force inside DRC Congo ili kuzuia FDLR isikue ....pia M23 inatumiwa na PK kuiba madini ya Congo.......Kelele za UN kwa Rwanda kufadhili makundi ya waasi huko Congo ni za mda mrefu kabla hata Ufaransa hajachukua uongozi wa Security Council...............Yaani wewe kweli unasema dunia nzima .....security Council ya dunia nzima hawana macho....wanabebwa tu na Ufaransa bila kuhoji....kwamba Rwanda haina hata marafiki wa kuwatetea huko...Come on friend.....Ongeeni na FDLR Kikwete aliwaambia mkaishia kumtukana...kaamua kunyamaza Prezidaa wetu