Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Freeland ni zaidi ya mwalimu. Bila shaka anaweza kutujuza mengi hapa. Tumtumie jamani, elimu haina umri wala wakati.

Nakubali hata mimi ingawa wenyewe hukataa kabisa. Kuna kila ushahidi na ndiyo maana nchi zenye macho yanayoona mbali zimeamua kukata misaada Rwanda.

Yes...There you are FLASH HIDER kila nchi ina sovereignty yake...haiwezekani kabisa wewe unakitetea kikundi kinacho de stabilize nchi ya mwenzako......How comes watetezi wa Rwanda ndio wanaitetea M23? That means Rwanda=M23....Simple arithmetics.
 
Unajua unachokisema?kusaidia FDLR ni kusaidia wauaji wa kimbali,which means you are a supporter of genociders.

janja yenu ya kuuhadaa ulimwengu kwa genocide hamna asiyoijua tena, chanzo kikubwa cha mauaji ya kimbari ya rwanda 1994 yaliyoua wahutu na watusi ni kagame na uchu wa madaraka wa watusi
 
Nakubaliana na wewe moja kwa moja lakini sidhani kama suluhisho pekee ni mtutu wa bunduki. Tuache utamaduni wa visasi.

tatizo kubwa la MUKAMASIMA kama ilivyo kwa watusi wote ni kudhani wenye haki ya kuishi kwa amani bila kubugudhiwa ni wao tu, jamii nyingine hapana !
 
Mbona KAgAME alikana Kusaidia hao M23???

Je ni faida zp atapata kwa kuwafund hao M23? anataka aiteke Congo ili hao Watusi wapatw nyadhifa hapa DRC??/

Ni nin ambacho M23 wanakidsi toka kwa KABILA ili mapigano yaishe?///
 
Hakuna anae isaidia FDLR mpaka sasa, suala hapa nini njia muafaka wa kumaliza matatizo na kikundi hiki kilichopo DRC karibu miaka 20 sasa. Ukipendekeza mazungumzo basi wewe kuna wadau (hasa PK) anakuona una support Genocide.

janja yenu ya kuuhadaa ulimwengu kwa genocide hamna asiyoijua tena, chanzo kikubwa cha mauaji ya kimbari ya rwanda 1994 yaliyoua wahutu na watusi ni kagame na uchu wa madaraka wa watusi
 
kuna walakini hapo
 
nasikia hii mandate ya haya majeshi ya sasa ni ya kwanza ya aina hiyo kutolewa na UN ndio maana Kagame amepaniki
 
Mkuu nimeona katika ukanda huu wahusika wakuu wa mgogo ro wa DRC ni TZ, RWANDA na UGANDA. Vipi kuhusu BURUNDI??

Mbona wao hawatajwi tajwi katika huu mgogoro maana nachojua wana matatizo sawa na Rwanda hasa ya uhutu na utusi na pia ni jirani wa karibu sana na Congo.
 
Hakuna anae isaidia FDLR mpaka sasa, suala hapa nini njia muafaka wa kumaliza matatizo na kikundi hiki kilichopo DRC karibu miaka 20 sasa. Ukipendekeza mazungumzo basi wewe kuna wadau (hasa PK) anakuona una support Genocide.

Mkuu "mfanyabiashara", nashukuru sana kwa info hii. Wachapeni sawasawa hao jamaa... (historia yako hapa JF inaonyesha ulishaongelea mambo ya jeshi (in a positive way) zaidi ya mara mbili, na haionyeshi kabisa kuwa wewe ni mfanyabiashara). Hata hivyo umevaa neutrality fulani nzuri. Kudos...
 
Hakuna anae isaidia FDLR mpaka sasa, suala hapa nini njia muafaka wa kumaliza matatizo na kikundi hiki kilichopo DRC karibu miaka 20 sasa. Ukipendekeza mazungumzo basi wewe kuna wadau (hasa PK) anakuona una support Genocide.

kiujumla watusi ni wazuri katika propaganda, walianza na single ya genocide na wakafanikiwa kuuaminisha ulimwengu kuwa waathirika wakubwa wa genicide walikuwa watusi na wahusika ni wahutu, kitu ambacho siyo sahihi hata kidogo kwa janja hiyo wahutu wakachinjwa bila msaada wowote wa jumuiya ya kimataifa , single ikachuja sasa wakaanza na nyingine ya FLDR kwamba wanasaidiwa na DRC kuishambulia Rwanda kumbe chanzo ni uchu wa mali asili za kongo na kwa hili walianza kufanikiwa kabla ya ulimwengu kustuka na kusema hapana, hata hivyo kagame hakuchoka, kaanzisha genge la mauwaji la M 23 ili kufanikisha uharamia wake wa kuimega kongo na kuiba maliasili yake, nayo hali siyo sawia kwake na watusi wenzake, kalianzisha na TANZANIA kwa kutishia kumhit raisi Kikwete kulipa kisasi cha kuizua Rwanda kuendelea kuihujumu DRC, kaona haitoshi sasa watusi ni kichocheo ndani ya EAC kutaka kuitenga TZ ! upo mwisho wake ....
 
hilo nalo neno, mkuu mfanyabiashara tunaomba msaada wako katika hili
 
kagame na watusi wenzake ni janga katika eneo la maziwa makuu
 
Mkuu FLASH RIDER huyu MUKAMMASIMBA ni idara ya intrllijensia ya Rwanda na si mtu mmoja bali seversl people uding the same ID.
Its easy to note.
 
Hata Burundi nako kuna tatizo. Unajua FNL wapo ndani ya DRC na wapo mpakani kabisa na Burundi. Pia historia ya Burundi haijahusisha sana DRC. Kama utafuatilia mauaji ya Kimbari, utagundua kuwa Warundi hawakuathirika sana kama Rwanda. Hawakukimbia sana nchi yao kwenda DRC kama Rwanda. Wakimbizi wao wengi walikimbilia kigoma TZ ambako walipewa hifadhi na baadae wakarejea kwao. Watusi na Wahutu wa Rwanda walikimbia Rwanda na kuingia DRC kwa nyakati na vipindi tofauti. Walipokutana huko kama wapinzani wa jadi wakaanza kupigana. Suala lingine linatajwa kama personality/characters. Inawezekana kama akiingia rais mwingine Rwanda, huenda hali ikawa tofauti. Tatu ni kuwa kinachotafutwa hapo ni eneo la KIVU KASKAZINI kwani huko ndiko kuna mali na kunaingilika kiraisi. Kule walikopakana na Burundi (KIVU YA KUSINI) hakuna utajiri na pia wamepakana sehemu ndogo sana ambako pia kuna waasi wa FNL wamejichimbia huko.

hilo nalo neno, mkuu mfanyabiashara tunaomba msaada wako katika hili
 
SItaki kulaumu mtu ila ukweli tusiwe na misimamo mikali na isiyo ya ukweli.

Mkuu FLASH RIDER huyu MUKAMMASIMBA ni idara ya intrllijensia ya Rwanda na si mtu mmoja bali seversl people uding the same ID.
Its easy to note.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…